leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,408
- 1,820
duuuu inaumakweli
Ndugu zangu wapendwa. Ntuzu, Mentor, Kalou na zile mashabiki za msimu.
Kwa upendo wote namiombeni mje jukwaani mtoe uchambuzi wa mechi ya leo.
Nini kimeenda kombo? Nini Mourinho afanye?
Kupoteza mechi mbili tu inaweza kuwa ni changamoto nzuri tu. Msimu una mechi 38. Zimebakia 34.
Rudini hapa bana, tuongelee kabumbu, kandanda, mtanange na maumivu ya kutandikwa viboko nyumbani.
Duh!!! Nilikusahau!!! Halafu bana usiwe hivyo hatufurahiagi misiba bana!!!!!!!!.....
Jamani hujaona? Nimekupa pole bhanaaaaa
Duuuh shem darling mnataka mpka mnuniwe hem punguzeni
Hahahaaa nani amenunaaa
Shem mi nilishaaga kuna mtu aliniita ndo nikamjibu.....
Haya bhanaa
Ronaldo anatoka kanuna na team imeshinda 5 ha ha ha m binafsi huyu