Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kutimuliwa kwenda wapi?

kwani bingwa nani msimu huu?, league bado sana wangu, ni mechi nne tu hizo kaka, tutarudi tu wala usiwe na pressure

Hali ni ngumu sana kocha anasema alitaka kubadilisha timu nzima
 
Teh teh, poleni sana bandugu Ntuzu, Manumbu, jamaa langu la nguvu agosti 8 na wengine wote
Pogba yupo anasubiri donge nono, njooni na fuko la yuda kabla muda haujaisha

Najua wewe ni mfatiliaji mzuri wa EPL, na Chelsea unaijua vizuri, hivi kweli kuna tatizo la viungo pale?, kuna ulegevu mdogo wa defence na hilo liko mbioni kutafutiwa dawa, Azip atacheza kulia, Baba kushoto, shida iko kati pale, Mou yuko mbioni kutafuta dawa kabla ya dirisha kubwa la usajiri alijafungwa
 
Tumesahau kutoa salamu na pole kwa wafiwa......

Pole yangu kwa mpenzi wangu wa moyo Ntuzu pole sana sweet I lov u ni mpito tu, Mentor Mcharo wangu usiache kunifanya nipendeze pole sana darling halafu sweet nina ujumbe wako, kalou best yangu pole sana najua leo uko disappointed sana mpka uzalendo umekushinda ENZO pole sana Dogo langu huu ndo mpira banaaa!!! Piga kitabu Dogo....#All The blue fans poleni sana....

Asante sn my dear everlenk

Mmmmh mambo si shwari kabisa ktk timu.......

Jamani hadi huzuni...
Pole sana Ntuzu, Mentor, kalou, kenzo, Root vipi mbona hujaniita na leo?
cute b thx sn Bi mdogo wangu
 
Last edited by a moderator:
Chelsea imenimiza sana sa iv nashabikia Malofa wenzangu (UKAWA) Mpaka mwezi wa sept ndo ntarudi kujiunga na Wenzangu(Chelsea)
 
Najua wewe ni mfatiliaji mzuri wa EPL, na Chelsea unaijua vizuri, hivi kweli kuna tatizo la viungo pale?, kuna ulegevu mdogo wa defence na hilo liko mbioni kutafutiwa dawa, Azip atacheza kulia, Baba kushoto, shida iko kati pale, Mou yuko mbioni kutafuta dawa kabla ya dirisha kubwa la usajiri alijafungwa

Kuna tatizo pia kwenye kiungo combo ya Matic na Cesc watu wameshaijulia, Cesc alishapotea kuanzia January .Matic amekuwa na kazi kubwa zaidi game ya West Brom alisababisha penati Jana Jose akaamua amtoe mapema. Azpi, Pedro, Zouma ndio wanaonyesha uhai but Ivanovic, Hazard, Cesc hawa bado wako likizo
 
Petr Cech gone with the bus keys,Chelsea can't park their bus now.

Hahahahahahah, wataisoma namba.

Nashangaa Paul Marson kujishushia heshima kwa kutabiri timu hii kuchukua ubingwa msimu huu.. Haya sasa Mou kaanza kuhesabiwa mechi!!

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Mwaka huu kazi tunayo hizo point nane tulizopoteza kizembe kuzipata itakuwa kazi sana......
Tusipoangalia yatakuwa yale yale ya Man U....
Kosa la Kwanza ilikuwa Morinho kuanza ugomvi na yule Daktari... amuombe msamaha tu arudishwe isijemtokea kama yaliyomkuta AVB kisa kuwaacha wakongwe nje....
 
Yule Dk halikua ni kosa!

Wachezaji ndio wenye matatizo.....waangalie vzr utaona kuna shida!

Ingekuwa vema timu ikasukwa upya km alivyoisuka msimu Wa juzi!
 
Yule Dk halikua ni kosa!

Wachezaji ndio wenye matatizo.....waangalie vzr utaona kuna shida!

Ingekuwa vema timu ikasukwa upya km alivyoisuka msimu Wa juzi!

Awaondoe wale wazee kule nyuma, Iva, Terry.
Ila wachezaji wanaweza kuwa wanafanya mgomo baridi....
Nimeangalia mechi moja tu toka msimu uanze maana naogopa kuona magoli yakiingia
 
Kuna tatizo pia kwenye kiungo combo ya Matic na Cesc watu wameshaijulia, Cesc alishapotea kuanzia January .Matic amekuwa na kazi kubwa zaidi game ya West Brom alisababisha penati Jana Jose akaamua amtoe mapema. Azpi, Pedro, Zouma ndio wanaonyesha uhai but Ivanovic, Hazard, Cesc hawa bado wako likizo

Asante kwa maoni yako mazuri, ila labda nikufahamishe vizuri, kila kocha anakuwa na mfumo wake wa kujenga timu na pia anakuwa na mfumo wake wa ushindi,

Kwa Mou, timu yake inaanzia kufunga/ ushindi kutokea kwenye defence, na ndio maana unakuta madefender kama Terry au Inanovic wana magoli mengi kuliko mabeki wote wanaocheza EPL, na hata kama umechunguza vizuri mara nyingi Chelsea wanapenda kutumia Striker mmoja tu na wanaweza kuwa zaidi kama hali sio nzuri

kwa Muktadha huo, baadhi ya wachezaji wa Chelsea hawawezi kucheza vizuri kwa sababu ya kulegea kwa mfumo wa ulinzi, Fabregas hawezi kupata support nzuri kutoka kwa Matic kwa sababu Matic sasa ndio amekuwa kama namba nne, Hazard hawezi kucheza kwa sababu Terry na Inanovic na Fabregas hawachezi kwenye kiwango chao,

kama ulishawai kuichunguza Chelsea vizuri, last season Fabregas alikuwa anacheza kama mchezaji huru kiwanjani, Terry na inanovic walikuwa wako kwenye form, hivyo Matic likuwa anapanda vizuri na fabrigas alikuwa anafungua na kujikuta yupo huru kila saa na ndio maana alitengeneza magoli mengi kwa sababu alikuwa na muda wa kujipanga na mpira

shida kubwa ya Chelsea kwa sasa ni beki wa kati, ukiangalia vizuri Zouma, Terry na Cahill wote wanacheza almost namba moja yaani wote ni watu wa mwisho, so combination yao haiko perfect, Zouma anaweza kupanda kidogo, lakini Nafasi ya Terry na Cahill lazima atafutwe mtu, hilo Mou kaliona na analifanyia kazi usiku na mchana

defence ya Chelsea ikitulia na timu nzima itacheza mpiara maridadi mliouzoea kuuona na furaha yenu wote watu wa Man U, Arsenal, Liver ya kuona kabumbu murua itarudi palepale

tunawaomba radhi sana kwa usumbufu mnaoupata kwa sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom