Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jamie-Carragher-Headshot_3190884.jpg

Fabregas is a fantastic footballer, he creates goals, he scores goals. But he can't defend. He lacks tactical intelligence, especially defensively.

Jamie Carragher



Je kuna ukweli kwenye hii hoja??? wana Chelsea tuzungumze!!

Hili ni tatizo la viungo wengi wa Hispania.Hawawezi kutrack mipira timu inaposhambuliwa...
 
Jamie-Carragher-Headshot_3190884.jpg

Fabregas is a fantastic footballer, he creates goals, he scores goals. But he can't defend. He lacks tactical intelligence, especially defensively.

Jamie Carragher



Je kuna ukweli kwenye hii hoja??? wana Chelsea tuzungumze!!

ndio mana nikabaki namshangaa morinho siku zile ya red card badala ya kumtoa Fab akamtoa willian ........
 
Magalasa 12 yaliyosajiliwa
kuondoka Chelsea
Tangu atue Chelsea kwa zaidi ya miaka kumi,
Roman Abramivich amemwaga kiasi kikubwa
cha fedha kwa
Fernando Torres
Tangu atue Chelsea kwa zaidi ya miaka
kumi, Roman Abramivich amemwaga kiasi
kikubwa cha fedha kwa ajili ya usajili wa
wachezaji 72 akitumia Pauni 713 milioni,
nyota hao, baadhi yao wameisaidia klabu
hiyo na kuipa mafanikio England na Ulaya
na wengine walikuwa hasara.
Fedha hizo za bilionea huyo raia wa Russia,
kiasi kingine kimetumbukia , kuzama kwa
wachezaji walioshindwa kuichezea klabu
hiyo mechi na kujikuta wakiondolewa
baada ya muda mfupi.
Miongoni mwao ni Juan Cuadrado, raia wa
Colombia ambaye alisajiliwa miezi sita
iliyopita akitokea Fiorentina ya Italia kwa
Pauni 24 milioni na kucheza mechi 13 za
ligi, ameiacha klabu na kujiunga na
Juventus kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Kuondoka kwa Cuadrado kunafikisha
orodha ya wachezaji 12 waliotua Chelsea
kwa kitita kikubwa cha fedha, lakini
wameondoka kwa aibu.
Orodha kamili ya magalasa yaliyosajiliwa
Chelsea:
12- Slobodan Rajkovic–Pauni 3.8m
Beki huyo wa kati raia wa Serbia alitua
Chelsea akiwa na miaka 16 , alisajiliwa
kutoka klabu ya OFK Belgrade mwa 2005 na
kubakia Chelsea hadi 2007.
Alikosa kibali cha kufanya kazi England,
hakucheza mechi hata moja, akitolewa kwa
mkopo kabla ya kuachwa mwaka 2011.
11-Jiri Jarosik - 3m
Kiasi cha Pauni 3 milioni kwa mchezaji
huyo kutoka klabu ya CSKA Moscow ni
kama kilipotea kwani alitumika kwenye
mechi chache, lakini alijikuta akiwa chaguo
la pili nyuma ya Michael Essien, kiasi cha
kutolewa kwa mkopo kwenda Birmingham
na baaday kuuzwa kwa hasara kwenye
klabu ya Celtic, Uskochi.
10- Mateja Kezman - 5.5m
Bei yake ya Pauni 6.5 milioni ilimfanya
mshambuliaji huyo aonekane ghali kwa
viwango vya 2004, aliwasili England akiwa
mchezaji bora wa mwaka wa Uholanzi,
akiwa amefunga mabao 105 kwenye mechi
122 akiwa PSV Eindhoven. Lakini, alifunga
mabao manne pekee Chelsea.
9- Asier del Horno - 8m
Beki huyo raia wa Hispania alicheza mechi
25 za ligi kwa msimu mzima akiwa
Stamford Bridge akiisaidia Chelsea kutwaa
ubingwa msimu wa 2005-06.
Kwa hiyo, fedha hizo hazikuwa zimetumika
vibaya, lakini atakumbukwa kwa kadi
nyekundu dhidi ya Barcelona alipomcheza
vibaya Lionel Messi ambako walitolewa
kwa idadi ya mabao. Kisha alitimuliwa.
8- Khalid Boulahrouz - 9m
Thamani ya Pauni 9m za usajili wake
zilitokana na sifa aliyokuwa amejijengea
akiwa Hamburg, UJerumani.
Lakini, baada ya kuanza vyema, maumivu
yalimwandama kiasi cha kukwamisha
ndoto zake za kutimiza wajibu wake, kiasi
cha kuondolewa kikosi cha kwanza
akisumbuliwa na maumivu ya bega, akiwa
amecheza mechi 13 za ligi kwa miaka
miwili, mwaka mwingine aliuzwa kwa
mkopo kwenye klabu ya Sevilla.
7- Fernando Torres –50m
Bei ya Pauni 50m iliyotumika kumsaji
kutoka Liverpool ilikuwa kubwa, badala ya
mafanikio iliendelea kuning’ninia mabegani
mwake. Alikuwa kama Angel di Maria
aliyekuwa Manchester United, ambaye
pamoja naye wanabaki wachezaji ghali
kusajiliwa England, aliiwezesha Chelsea
kushinda taji la FA na mataji mawili
Ulaya. Lakini mabao 20 kwa miaka minne
ni idadi ndogo mno kwa mshambuliaji
nyota kama yeye.
6- Yuri Zhirkov - 18m
Zhirkov anaingia katika orodha ya
wachezaji ambao walitua Chelsea kwa bei
mbaya, lakini ambao mchango wao hadi leo
unatia shaka , ambaye mshahara wake wa
Pauni 620,000 kwa mwaka haukulipa.
Hakuonyesha mafanikio ya kumridhisha
mwananchi mwenzake wa Russia,
Abramovich aliyeidhinisha usajili wake.
5- Andriy Shevchenko - 30m
Uamuzi wa mmiliki wa Chelsea kuidhinisha
usajili wake akieleza kuwa Shevchenko
alikuwa aina ya mchezaji aliyemhitaji,
akiwa na miaka 30 , gharama ya Pauni
30m ilikuwa kubwa, lakini haikurudi.
Kocha Jose Mourinho akiwa Chelsea kwa
mara ya kwanza hakumtaka, idadi ya
mabao tisa aliyofunga Shevchenko kwa
miaka mitatu akiwa na mshahara mkubwa,
ni hasara.
4- Marko Marin - 7m
Alicheza mechi sita za ligi kwa miaka
mitatu baada ya uhamisho wake mwaka
2012. Akiwa na miaka 23, mchezaji huyo
kutoka Werder Bremen,Ujerumani hakuwa
mdogo. Msimu wa 2013-14 alicheza kwa
mkopo akiwa Sevilla, na msimu uliofuata,
Fiorentina. Aliigharimu Chelsea zaidi ya
Pauni 1 milioni kwa kila bao.
3- Adrian Mutu - 15.8m
Ni ajabu kuona mchezaji aliyesajiliwa na
kutambulishwa kwa mbwembwe akiondoka
kwa aibu kama ya Mutu . Raia huyo wa
Romania alikuwa miongoni mwa nyota wa
kwanza kusajiliwa na tajiri Abramovich
akitokea Parma.
Mabao manne kwenye mechi tatu za
kwanza ilikuwa dalili njema. Ghafla
aliporomoka, kukosana na kocha
Mourinho, alikumbwa na kashfa ya
matumizi ya dawa za kulevya aina ya
cocaine , alifungiwa na kujikuta katika
mzozo wa kimkataba na klabu hiyo .
Alijikuta akilazimika kulipa fidia.
2- Juan Cuadrado - 25m
Mikanda ya video inayosambazwa kwenye
mitandao ya kijamii inamwonyesha
Cuadrado akienda Italia ambako
amesajiliwa kwa mkopo na Juventus.
Baadhi ya mashabiki wa Chelsea wanaweza
kusamehewa kwa maneno ambayo
wameyatoa dhidi yake akiwa klabuni hapo
tangu atue Chelsea kwa Pauni 24m mwaka
jana, amecheza mechi 13, ambazo zinaweza
kuwa na thamani ya Pauni 2m kwa kila
mchezo, wakati mwingi akitokea benchi.
1- Juan Veron - 15m
Huyo naye ni mmoja wa wachezaji wa
kwanza kutua Chelsea baada ya kutua kwa
Abramovich ambaye alimpa aliyekuwa
kocha Claudio Ranieri ruhusa ya ya
kutumia zaidi ya Pauni 100m kwa msimu
wa kwanza kuimarisha Chelsea.
Veron alianza kwa kuonyesha makeke,
lakini alipotea kwa klabu yake, Chelsea
kuliko ilivyokuwa kwa Manchester United.
Alicheza mechi saba kwa miaka minne,
kiasi cha kumfanya awe kinara aliyetia
hasara fedha za Abramovich.
Pia, Chelsea imeshuhudia nyota wengine
kama Alexei Smertin, Steve Sidwell, Tal Ben
Haim, Claudio Pizarro na Yossi Benayoun
ambao walisajiliwa chini ya miliki ya
Abramovich, wameiacha Chelsea bila
mafanikio yoyote.
-
 
Tumeiona weakness ya Fabregas sasa baada ya Metric kuwa katika kiwango cha chini tangu msimu huu uanze - Hakuna ubishi kwamba wawili hawa ndiyo walioipatia Chelsea ubingwa msimu ulopita maana walitamba vilivyo kwenye eneo la kiungo cha Chelsea, hata hivyo bado ana option ya kumtumia Obi Michel pamoja na Ramires kwenye kiungo cha ukabaji kama ikilazimu. Inawezekana ikawa bado na hagover ya ushindi lakini bado naamini wawili hao watarudi kwenye form muda si mrefu.

Tatizo la beki wa kati nacho ki kikwazo, tunaona John Terry anaanza kuchoka, tumeona chelsea ikimchukua beki wakati mzoefu ili kujaribu kuziba pengo hilo. Pia upende wa kushoto tunaona beki mpya Baba Rahma, wote hawa tutapata nafasi kuona kiwango chao.

Upande wa beki wa kulia, Ivanovic amekuwa ni njia - hatujaona ule ubora wake wenye upande huo. Kifupi Beki yote ya Chelsea pamoja na viungo wawili wakabaji bado hawako vizuri.

Tutegemee changes kwenye game na Everton jumamosi.
 
Tumeiona weakness ya Fabregas sasa baada ya Metric kuwa katika kiwango cha chini tangu msimu huu uanze - Hakuna ubishi kwamba wawili hawa ndiyo walioipatia Chelsea ubingwa msimu ulopita maana walitamba vilivyo kwenye eneo la kiungo cha Chelsea, hata hivyo bado ana option ya kumtumia Obi Michel pamoja na Ramires kwenye kiungo cha ukabaji kama ikilazimu. Inawezekana ikawa bado na hagover ya ushindi lakini bado naamini wawili hao watarudi kwenye form muda si mrefu.

Tatizo la beki wa kati nacho ki kikwazo, tunaona John Terry anaanza kuchoka, tumeona chelsea ikimchukua beki wakati mzoefu ili kujaribu kuziba pengo hilo. Pia upende wa kushoto tunaona beki mpya Baba Rahma, wote hawa tutapata nafasi kuona kiwango chao.

Upande wa beki wa kulia, Ivanovic amekuwa ni njia - hatujaona ule ubora wake wenye upande huo. Kifupi Beki yote ya Chelsea pamoja na viungo wawili wakabaji bado hawako vizuri.

Tutegemee changes kwenye game na Everton jumamosi.

Pia Hazard naye hayuko ktk kiwango chake na amekiri yeye mwenyewe binafsi!
 
Time to be Special by Joe Tweeds

As I trudged out of Stamford Bridge last Saturday there was very little to smile about. The grey sky encapsulated the mood of thousands uncomfortable in a damp and humid evening. Gone was the swagger of 2014, the steely determination of 2015 and in its place a disparate collection of players. Devoid of cohesion, lacking in creative spark and visibly unfit, just what has happened to Chelsea?

A disappointing start to the season has followed a poor summer. The ruthless efficiency with which Chelsea attacked the market in 2014/15 was an undoubted catalyst to our title charge. Sitting on our hands, replacing like-for-like, our only addition of real quality this year was borne out of another club's mishandling. Chelsea remain largely the same team who won the title last season.

This, for many, is where the disenchantment starts. It is not the lack of spending but the lack of a coherent long-term plan that our transfer window made painfully obvious. Yes, waiting for your particular targets to become available (John Stones and Paul Pogba) could be construed as long-term planning. However, signing a centre back that Mourinho does not deem worthy of inclusion in our Champions League squad is perplexing.

Last season suggested a foundational keystone had been placed. The board and José Mourinho worked in perfect harmony to secure the Premier League title. We were not good enough in Europe, but the natural progression would have been to act decisively again and push the squad back to the level of Barcelona, Real Madrid, Bayern Munich et al. Taking one step forward and then two steps backwards concerns me.

If we truly wanted a #marqueeTM signing then waiting for Paul Pogba makes sense. Nevertheless, a giant hole remains in our midfield that is continually being exposed by competent sides. Swansea and Crystal Palace won the midfield battle. Manchester City, an excellent side, could have called off the battle it so decisively one sided. There were players available who would have given us much needed bite and quality, yet we chose not to pursue them.

In a similar fashion the pursuit of John Stones suggested that Chelsea saw a centre-back as a key signing. Again, if Stones was the man and we feel he is available in January or the next summer I can try and understand the club. However, reported bids for Aymeric Laporte and Marquinhos throw that notion out of the window. Could Chelsea have pursued all three earlier and then landed one of them? Or is Papy Djilobodji really the cunning Plan B all along?

My concern this summer was always going to be around signing a centre back and a midfielder of sufficient quality. For those who follow me on Twitter, it comes as no surprise that midfield was my biggest worry. Michael Essien, my favourite Chelsea player of the modern era, used to win midfield battles by himself. No one in this current squad has that capability, desire or aggression. We miss a physical presence - something Nemanja Matić is but equally is not. The Serbian needed help that we have not provided.

If you analyse our failings in big games last season they usually stem from ceding the midfield. It prompted José Mourinho to play Kurt Zouma in certain matches to give us that added physical edge. This was a clear indication that Mourinho wanted an athletic and aggressive player in his midfield. Paul Pogba obviously fits the profile here, but there are a number of technical yet destructive central midfielders in Europe.

Certain elements of our early season form are baffling. Particularly when it comes to how drastically unfit the team look. Eden Hazard, who appears to have enjoyed his summer a little too much, seems to be playing in cement boots. While he has by no means been our worst player, such was his level last season that he currently resembles a shadow of the player who drove Chelsea towards the title. He is not the only one who looks out of ‘football shape', but as our talisman it is noticeable.

Branislav Ivanović's struggles have been well documented. Plainly he is not playing well enough to merit a starting place. The data highlighting which areas Chelsea concede goals and shots from paint a dismal picture. For over two seasons our right hand side has been the prime source of joy for opponents. It is, however, even more salient this season. Any data can be manipulated and people will extract different conclusions from the same image, but the correlation tallies up with what you are seeing on a weekly basis. Mourinho should do him a favour and rest him.

When multiple players fail to collectively turn up there is little that can be done. Is it surprising that we are playing pedestrian football in the final third? The players on the recent Barclays ‘walking football' advert have more zip than us at present. You only need to watch how frustrated Diego Costa is with everyone behind him to notice how painfully slow we are transitioning play. We are morphing into Arsenal and it is excruciating to see: lateral passing, unnecessary touches, an unwillingness to try anything bordering on creative - teams have figured us out.

Amidst the doom and gloom there are a few beams of sun light trying to break through the cloud. The lack of signings and form of established stars presents an interesting proposition for our youngsters. For Ola Aina, Ruben Loftus-Cheek, Kenedy and Bertrand Traoré their chance may well come before January. If the corollary of not signing players is the frequent inclusion of youngsters, personally I would be happy. We eventually need to find out what these kids can do.

Kenedy and Bertrand Traoré are rare attacking talents. The Brazilian's cameo, even at an incredibly unfamiliar left back role, touched upon Arjen Robben levels of excitement. He was fearless, demanding the ball and wanting to run at defenders. Our tempo noticeably increased when he came on. Kenedy is undoubtedly raw, but he has every tool in the box to be an impact player this season. Beyond that who knows how good he can become?

Traoré is something of a forgotten quantity. This was a player who was an elite forward in the Eredivisie and only fractionally outperformed by Manchester United's £25m signing Memphis Depay. Traoré can play anywhere along a front three and as a number ten if required. However, he begun to destroy teams when playing as a central forward; his pace, dribbling, trickery, movement and finishing were simply too hot to handle for opposition defences.

What both offer is something no one in our current side really has: a relentless desire to attack at pace. Rarely do you see either of them taking the simple option. Willian, conversely, has regressed from his impressive end to last season. The Brazilian is intent on playing the ball sideways more readily than John Obi Mikel (and I like Obi Mikel) at present. We need an injection of creativity in the final third - you cannot simply afford to let a side defend comfortably because you are so painfully predictable.

My thoughts on Ruben Loftus-Cheek are quite clear at this point.

He has a rare combination of size and technique - in many ways he is like a mini Yaya Touré. What will inhibit him are his stamina issues. He cruises around the pitch and as such there is a perception from some quarters that he is too laid back. Similar things were said about Michael Ballack. I would question whether sitting in a pivot really is the best use of his talent. A switch to a 433 that allows him to drive through midfield and make passes would be phenomenal. Similarly, he can play as a Touré-esque number ten with a great deal of success. Mourinho needs to give him the confidence to play his natural game, because I still firmly believe he's one of the most talented teenage midfielders in world football.

Time to be Special - We Ain't Got No History
 
Pia Hazard naye hayuko ktk kiwango chake na amekiri yeye mwenyewe binafsi!
Hawa jamaa zako waache kufanya mazoezi ya mpira. Warudie tu mazoezi ya mieleka na rugby ili Chelsea waepuke aibu. Sifurahii kuona ndugu yangu Ntuzu akilalama tu badala ya kuleta mauchambuzi ya soka.

Yokohama iko katika majaribio karibuni tairi zitafikisha kiwango cha Epl.:wink:
 
Tumeachwa na man city kwa point 8,means lazima wapoteze mechi 3,ishu watapoteza kwa nani,bado tuna kazi!
 
Ni tatizo la Maureen, wala siyo Cesc. Huwezi kulazimisha Bugatti ifanye kazi ya Fuso.

Tatizo ni Faby mwenyewe wala sio Moureen kwasababu kz ya fuso inafanywa na Matic yeye ata kupenya km Vitz ameshindwa?
 
Tatizo ni Faby mwenyewe wala sio Moureen kwasababu kz ya fuso inafanywa na Matic yeye ata kupenya km Vitz ameshindwa?

Ukitaka kuifaidi Bugatti, fahamu namna ya kuitumia. Bila hivyo, utatoa lawama bure, kumbe tatizo hujui kuitumia kwa kadri ya uwezo wake.
 
Baada ya vipigo mfululizo katika mechi 4 iliyoibua point 4 hatimaye the Special one aamua kugeukia upande mwingine wa shilling na kuwa mwanamitindo #vivaEPL

Cc Ntuzu Mentor kalou
 

Attachments

  • 1441869090348.jpg
    1441869090348.jpg
    17.8 KB · Views: 141
Last edited by a moderator:
Duh long time sijafika huku mrs. mcharo wangu everlenk upo salama lakini!??? Hata mimi nilistaafu soka kwa muda. Wikiendi hii tunaenda kumfundisha soka Lukaku. Nakwambia hadi John Stones atajuta kwa nini hakujiunga na sisi...

#vivaChelsea
 
Last edited by a moderator:
Duh long time sijafika huku mrs. mcharo wangu everlenk upo salama lakini!??? Hata mimi nilistaafu soka kwa muda. Wikiendi hii tunaenda kumfundisha soka Lukaku. Nakwambia hadi John Stones atajuta kwa nini hakujiunga na sisi...

#vivaChelsea

Niko salama kukumiss tu zaid yaani mpaka naumwaaa!!!!! Haya mimi kama kawaida yangu nitakuwa na wine yangu pembeni nikikusindikiza Mcharo wangu ukishinda nitakupa zawadi ya ushindi ,ukishindwa kigodoro kama kawaida.....lol
 
Last edited by a moderator:
Niko salama kukumiss tu zaid yaani mpaka naumwaaa!!!!! Haya mimi kama kawaida yangu nitakuwa na wine yangu pembeni nikikusindikiza Mcharo wangu ukishinda nitakupa zawadi ya ushindi ,ukishindwa kigodoro kama kawaida.....lol

Hahahah naamini hata kama ni kigodoro hakitadumu...maana hapo 1930hrs nitakuwa kwako....#benteke Cc: Malafyale...watu wanamuogopa jogoo
 
Last edited by a moderator:
everlenk kesho nakupiga easily tu!Kuna report kuwa wachezaji wakongwe wamembwatukia kocha wenu LVG wakipinga nbinu zake ehehehe

Majogoo yanakuja kuwika hapo hapo OT!Waulize akina BAK pale pale kwao waliutafuta kwa tochi
 
Last edited by a moderator:
Hahahah naamini hata kama ni kigodoro hakitadumu...maana hapo 1930hrs nitakuwa kwako....#benteke Cc: Malafyale...watu wanamuogopa jogoo

Hahahahah!!!! Kaka yangu keshakuwa mteja wetu si uliona hata malegend wetu waliwachapa 4-2 ndivyo hata sisi tutawachapa 4 kavu.....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom