Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kyutibiiiiiiiiiiiiiiii kunywa ile kinywaji ya laki 3 nakuja kulipa leo sina ushirikiano sana nipe kama dakika 30 nitakuwa nimefika eneo langu la kujidai, sawa mumy cute b
 
Last edited by a moderator:
Hii domokaya ilikumbuka kumpa mkono Pardew mechi ilipoisha au matokeo yalimfanya achanganyikiwe?

Domokaya ameibuka na haya leo baada ya yokohama kuchomwa.

Chelsea boss Jose Mourinho: "We didn't deserve to lose. But Palace gave us a very difficult game. The result should be a draw, which would still be bad for us. We did enough not to lose."

Hahahaaaaa
 
Attachments

  • 1440868244511.jpg
    1440868244511.jpg
    27 KB · Views: 122
Jamani nilikuja tu mara moja kutoa pole,nasikia kuna msiba hapa!lakini mbona wenyeji hawaonekani?au hakuna matanga leo?
 
everlenk tuondoke mamy tuka ombe kwa ajili ya kesho

Tumesahau kutoa salamu na pole kwa wafiwa......

Pole yangu kwa mpenzi wangu wa moyo Ntuzu pole sana sweet I lov u ni mpito tu, Mentor Mcharo wangu usiache kunifanya nipendeze pole sana darling halafu sweet nina ujumbe wako, kalou best yangu pole sana najua leo uko disappointed sana mpka uzalendo umekushinda ENZO pole sana Dogo langu huu ndo mpira banaaa!!! Piga kitabu Dogo....#All The blue fans poleni sana....
 
Jamani hadi huzuni...
Pole sana Ntuzu, Mentor, kalou, kenzo, Root vipi mbona hujaniita na leo?
 
Last edited by a moderator:
Tumesahau kutoa salamu na pole kwa wafiwa......

Pole yangu kwa mpenzi wangu wa moyo Ntuzu pole sana sweet I lov u ni mpito tu, Mentor Mcharo wangu usiache kunifanya nipendeze pole sana darling halafu sweet nina ujumbe wako, kalou best yangu pole sana najua leo uko disappointed sana mpka uzalendo umekushinda ENZO pole sana Dogo langu huu ndo mpira banaaa!!! Piga kitabu Dogo....#All The blue fans poleni sana....

tantee mdada everlenk . kunguru kamnyea binadamu" ............. tudiscus mambo yenye kuleta maendeleo, Mi naona Lowasa tukimpa nchi anaweza kabisa, au wewe unasemaje?!
 
Last edited by a moderator:
tantee mdada everlenk . kunguru kamnyea binadamu" ............. tudiscus mambo yenye kuleta maendeleo, Mi naona Lowasa tukimpa nchi anaweza kabisa, au wewe unasemaje?!

Hahahhahhahahahhaha!!!!! Bahati mbaya tumeshaaga kesho nitakuja tudiscuss.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom