Yokohama ya kariakoo mkulu! Mchile hana chake Yule kwa Mou! Head to head mchile vs Mou Mara 13 mchile kashinda 2 tu Na kadroo 2 kachapwa 9. Huyo mchile Ni Mteja wetu tu!
Hata Wenger alikuwa mteja wenu
Bado Ni Mteja tu ata iweje atakua Mteja wetu tu.
hivi coudrado bado yupo au aliondoka kwa mkopo maana 80% ya wachezaji wanaocheza kwa mkopo timu zingine wanatoka chelsea.
Tupo ndugu ndo tunafisha matarumbeta na ngoma tuone kama show itachezeka..........kila la ndugu zangu.
Ulitakiwa kuungana na Wacha1 kule ndio mtu za aina yako,kama ni kweli huna afya mgololo, zinafaa kuwa na urafiki na le professor Wee.Aisee mi sina afya ya mgogolo ata kidogo.......
Uwepo wenu muhimu sana humu jukwaani
tatizo lake anataka kushinda kila mechi na hiyo haiwezekani
waambie mkuu maana dunia nzima inasubiri kuona mou atakavyoichakaza cityNyie wanga msije mkakimbia baada ya mpira kwisha manake nyinyi mnafikiri Morinyo anaenda kupaka wanja.
Nyie wanga msije mkakimbia baada ya mpira kwisha manake nyinyi mnafikiri Morinyo anaenda kupaka wanja.
Aisee jamani nipo bush game nazikosa hivi hivi!!
Tupeane update wakuu