Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

binafsi ni shabiki wa kile kidada..moo hakuwa right kuwabwatukia publicaly lakini kosa alilofanya yule doctor wenzake walikuwa kimya yeye alikiuka maadili ya kaz kwa kupost fb kuwashukuru fans kwa support yao kwake kuhusiana na lile tukio

Kakiukaje maadili ya kazi hapo😂
 
mourinho leo; "John fearn and Dr carneiro will not be on the bench on sunday but that doesn't mean they can not be in the future
we have disagreements during this period, we need disagreements to improve, we work together."
 
mourinho leo; "John fearn and Dr carneiro will not be on the bench on sunday but that doesn't mean they can not be in the future
we have disagreements during this period, we need disagreements to improve, we work together."

Mtu amesha resign uko
 
wapi mkuu! carneiro na staff nzima ya madactari wana uhusiano mzuri na moo, fuatilia press conference ya leo utagundua ishu ilikuwa ndogo sema media ndiyo zimeikuza..tena wanamsifu moo eti hawakuwah kusifiwa kama kwenye management ya moo
 
zile ni game mind tu kuwaweka sawa wachezaji kisaikologia...baada ya mechi 2 au 3 wanarud kwenye role yao
 
mkikosi wa mauaji kwa man city;
bigonovic
ivonovic
azp
Terry
cahil
matic
remires
willian
fabrigas
hazard
Costa

hapo hachomoki mtu
 
Bonyyyyy, Yayaaaaaa bin Silvaaaaaa

Hizi ni rafiki za Yokohama na Ntuzu.
Nonda mi nimetinga Yokohama tangu Jana! Jana nilitinga Yokohama blue colour Wa lelo Niko Na white! Nipe no yako basi mkulu nikulishiage myala!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom