Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chama linaniangusha leo. Atleast tutoe draw tukifungwa hii itakuwa mbaya sana japo ligi bado mbichi. Hizi big game hizi either tushinde au tudraw
 
Mashabiki Maandazi tumefungwa moja tu mmekimbia je tukipigwa kumi si mtahama timu. Njooni bana msikate tamaa tuna win hili game hata tukifungwa itakuwa ni somo la kujipanga next match
 
Hivi ni kwanini Diego Costa huwa anajifanya mbabe mbabe kama mtoto wa Manzese?
 
Mashabiki Maandazi tumefungwa moja tu mmekimbia je tukipigwa kumi si mtahama timu. Njooni bana msikate tamaa tuna win hili game hata tukifungwa itakuwa ni somo la kujipanga next match

Akimbie nani weye?
 
Game ya leo tumeshikwa, na kwa bahati mbaya sana hicho ndio kikosi chetu cha mwisho hatuna sub yakusema ikiingia itabadili mchezo
 
Kweli leo tumeshikwa ila tunapambana. Kikosi kinamuhitaji sana pale mbele mtu kama Demba ba. Kikosi kimekosa mtu mwenye misuli ya kupambana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom