Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Citey wameshagonga moja na hawapaki bus lao. Ingekuwa Chelsea tungeshaliona bus limeshatolewa matairi mitaa ya kati. Come on Citey/ Pellegrini piga mswaki Mourinho
 
Citey wameshagonga moja na hawapaki bus lao. Ingekuwa Chelsea tungeshaliona bus limeshatolewa matairi mitaa ya kati. Come on Citey/ Pellegrini piga mswaki Mourinho

Matairi ya yokohama hayafai kupakia bus.
Jinsi chelsea wanavyofungua ndo wanatoa mwanya wa kupokea kichapo kingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom