Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nonda mi nimetinga Yokohama tangu Jana! Jana nilitinga Yokohama blue colour Wa lelo Niko Na white! Nipe no yako basi mkulu nikulishiage myala!
Umetinga Yokohama ya kichina? Haya bana!

Leo unashinda kwa mabao nyembamba au mnenee?

Yule mamito anawapa mori wachezaji ndio Mou amempiga ban kwa wivu wake! Na mchile ana usongo na Mou.

Hii mziki ya leo ni kibinda-nkoe!!
 
Yokohama ya kariakoo mkulu! Mchile hana chake Yule kwa Mou! Head to head mchile vs Mou Mara 13 mchile kashinda 2 tu Na kadroo 2 kachapwa 9. Huyo mchile Ni Mteja wetu tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom