Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

daah; asante sana kaa kunikumbuka;

hii ni kama familia aisee..

asanteni sana...niko imara kabisa..

nondo zipo kama kawaida.

leo ntazungumzia jukumu la Kurt Zouma..

kama kawaida..uchambuzi yakinifu.

We acha Mkuu kitambo sn...nimekuchek kwenye pm huko kuna ujumbe wako....

Km ndoto kamanda....
 
11138627_939516412773941_4573594980437947132_n.jpg

khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
daah; asante sana kaa kunikumbuka;

hii ni kama familia aisee..

asanteni sana...niko imara kabisa..

nondo zipo kama kawaida.

leo ntazungumzia jukumu la Kurt Zouma..

kama kawaida..uchambuzi yakinifu.

Pamoja sn Mkuu....

Lete nondo kaka....
 
JUKUMU LA KURT ZOUMA KWENYE KIUNGO...

1. Kwenye fainali vs SPURS..

aliwekwa ili kuwadhibiti viungo wa SPURS ambao walitudhuru sana Januari Mosi; 5-3. Matunda ya kazi yake yalikuwa wazi kabisa..anaweza sana kudhibiti mipira ya juu; na pia ana akili ya mpira, mwepesi wa kufanya maamuzi. Hana kitete kama David Luiz..wala hana papara.

2. Kwenye mechi ya WESTHAM..

Westham wana wachzaji wasumbufu kwenye kiungo; ambao Febregas na Matic peke yao hawawezi kuwadhibiti; mfano ni KOUYATE..

3. Kwenye mechi ya MAN UTD.

mechi ya UTD VS CITY ilionyesha wazi hatari na madhara ya FELLAINI..hasa kwa mipira ya juu,nguvu na mpira wake wa kibabe..

Zouma alimtuliza vizuri sana...
 
David Luiz: "What's up doc?"

Doctor: "Just trying to work out how you're worth £50m, Luiz."

11150436_939058276153088_1044353728035726340_n.jpg

JUKUMU LA KURT ZOUMA KWENYE KIUNGO...

1. Kwenye fainali vs SPURS..

aliwekwa ili kuwadhibiti viungo wa SPURS ambao walitudhuru sana Januari Mosi; 5-3. Matunda ya kazi yake yalikuwa wazi kabisa..anaweza sana kudhibiti mipira ya juu; na pia ana akili ya mpira, mwepesi wa kufanya maamuzi. Hana kitete kama David Luiz..wala hana papara.

2. Kwenye mechi ya WESTHAM..

Westham wana wachzaji wasumbufu kwenye kiungo; ambao Febregas na Matic peke yao hawawezi kuwadhibiti; mfano ni KOUYATE..

3. Kwenye mechi ya MAN UTD.

mechi ya UTD VS CITY ilionyesha wazi hatari na madhara ya FELLAINI..hasa kwa mipira ya juu,nguvu na mpira wake wa kibabe..

Zouma alimtuliza vizuri sana...

Kwa hiyo tutarajie nini game ya Arsenal vs Chelsea??
 
TOUCHES IN OPPOSITE AREA: Look closely and observe hiyo 71% ilichezewa eneo gani la uwanja.

Mimi nasema hivi sikuona game lolote bora walilocheza Man utd (niiteni hater tu) but as a football fan kile walichofanya ni kujichisha....you don't stay with the ball kama unataka ushindi. And further more, wanaokaa na mpira sana eti ni mabeki. Mwisho unasema the best team lost..how so!!!!!!

11156282_1396746567032222_1564536867799593141_n.jpg

total touches on opposition half 40[24+16]
man utd 24[60%] and chelsea 16[40%]

40% na 60% NOT CLOSE AT ALL.....maybe 48/52 or at least 45/55.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom