Watch out Rentboys...having two games in hand doesn't mean having six points...
The good thing is, Man City have droped the points.
Na nikukmbushe tu kua kesho unaweza ukalia kwa Spurs......
Huna haja ya kunikumbusha, kwani nafahamu fika matokeo matatu yanayoweza kutokea katika mechi ya soka....
Ila si unajua ukiwa mpenzi wa timu, siku zote unategemea ushindi, ingawa kuna kudroo ama kushindwa...
Ilikua haina haja ya wewe kusema kua na michezo miwili mkononi haina maana kwamba ndio kua na pointi wakati najua hizo pointi sita hatunazo kwasababu bado hatujacheza hiyo michezo.................
Nimesema kwa sababu kuzikosa hizo points ni mojawapo ya matokeo yanayoweza kutokea chifu..
Yaani katika hizo mechi mbili, haya yanaweza kutokea: (a) kupata points zote 6, (b) kukosa points zote 6, (c) kupata points 2 kati ya 6, (d) kupata point 1 kati ya 6, (e) kupata points 3 kati ya 6,na ( f) kupata points 4 kati ya 6.
Baada ya psg kutufunga nimegundua team yetu ni team kubwa sana dunian na hii imjionyesha katika page mbalimbali ya mitandao na hata katika medi mbali mbali dunian ikiwemo jamii forums
Man u aligungwa na arsenal katika uwanja wa old trford na na ktolewa katka mbio za kugombania kombe
Psg ni team kibwa sana dunian na huwezi kuilonganisha na team ya arsena
Leo chelsea katoa drow na team kubwa dunian imekuwa shida hatulan mashabiki wa chelsea kila kona wanatusema ss...kwa nini msimseme man u kafungwa na watoto wa england
big 4 man u kwa mchezo wao hawatakwepo,tusubiri mwisho wa ligi
big 4 itakuwa chelsea,mancity,arsenal and liverpool
big 4 man u kwa mchezo wao hawatakwepo,tusubiri mwisho wa ligi
big 4 itakuwa chelsea,mancity,arsenal and liverpool
saivi tunaangalia big 3 sio big 4 tena
kama wanavyosema sasa hivi epl kutakuwa na big 3 siyo 4 basi kazi ipouna mawazo kama yangu!' ..............hahahahahaha
Grand PA
Team to face Southampton: Courtois; Ivanovic, Cahill, Terry (c), Azpilicueta; Matic, Fabregas; Willian, Oscar, Hazard; Diego Costa. #CFC
Team to face Southampton: Courtois; Ivanovic, Cahill, Terry (c), Azpilicueta; Matic, Fabregas; Willian, Oscar, Hazard; Diego Costa. #CFC