Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

11149412_1395679807138898_1277106406346946796_n.jpg
Mentor najuuuuutraaaaa kukufahamu !!!!!!!!!! Sasa inatosha mzeeeee!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo tutarajie nini game ya Arsenal vs Chelsea??

Pengine Bwana atakuwa nawe, nawe utalijenga hekalu na vita havitakuwapo tena katika utawala wako tafadhal uwe hodari na moyo wa ushujaa ukanilipie kisasi juu ya watesi wangu.......... Kelele hizi zikakome......... Mcheza kwao hutuzwa tafadhali lizingatie hilo....
 
sala yako imezuiwa njiani na malakia mlinzi wa zouma, terry na cahil.. hadi tarehe 30/4

teh teh teh... polee mamitoh
 
Hahahaha!!! Wamechelewa malaika keshajibu kwa Sanchez na Giroud hapa natoa sadaka ya kuteketezwa kushukuru kwa hilo.....

Mzima lakini? Duh!! Jukwaa lenu limekuwa chungu kupita kabisa iron lady leo uvumilivu umenishinda kwaheri...................
 
Pole mamy.......
 
images
 
Pengine Bwana atakuwa nawe, nawe utalijenga hekalu na vita havitakuwapo tena katika utawala wako tafadhal uwe hodari na moyo wa ushujaa ukanilipie kisasi juu ya watesi wangu.......... Kelele hizi zikakome......... Mcheza kwao hutuzwa tafadhali lizingatie hilo....

Teeeeeh...hiyo sala ya karne...asante sports lady! Bahati mbaya ulikimbia hata hukutaka pole yangu baada ya kipigo toka kwa wazee wa kuchezesha mabeki watano...
 
Kwa hiyo tutarajie nini game ya Arsenal vs Chelsea??

Eli79 Kiongozi.....timu yenu ni nyepesi sn haina madhara ktk idara zote....

Ninachopenda kukuambia leo kua sasaivi wengi wanamshambulia Mou kua ana mbinu moja tu....sasa akija Emirates anakuja kuwaonyesha kila aina ya mpira anaweza kuchezesha au kufundisha....
 
Ntuzuuuuu... Umetudharau eeeh!!
 
Last edited by a moderator:
kwa misimu miwili mfululizo UTD hawajatufunga..

kwa misimu miwili mfululizo ARSENAL hawajatufunga..

kwa misimu miwili mfululizo CITY hawajatufuna..

kwa misimu miwili LFC hawajatufunga...

CHELSEA FC - THE IMPOSSIBLE.

Eli79 Kiongozi.....timu yenu ni nyepesi sn haina madhara ktk idara zote....

Ninachopenda kukuambia leo kua sasaivi wengi wanamshambulia Mou kua ana mbinu moja tu....sasa akija Emirates anakuja kuwaonyesha kila aina ya mpira anaweza kuchezesha au kufundisha....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom