Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ntuzuuuuu... Umetudharau eeeh!!


Wewe niambie ni idara gani itatusunbua sisi?

Tunakuja kuattack mwanzo mwisho....tunakuja kuwaonyesha tunaweza kucheza mfumo wowote...
. Hauna mid za kutisha....hauna wings za kutisha....hauna strikers Wa kutisha... Hauna attackers wakutisha Zaidi ya huyo Sanchez ambaye Ramires atamuweka mfukoni....

Najua kocha wako ata muweka Danny Welbeck km right wing na Geroud kua striker na Ozil na Sanchez kua attackers.....nani mtamuweka kiungo mkabaji? Ramsey?

Tulia tunakuja kuwashika Kiongozi.....
 
Last edited by a moderator:
tutarajie burudani..


cesc fabregas anakuja kutoa assists 2 ndani ya mechi moja..

siku hiyo yule Diego Costa..


Attack attack attack..... Hii ndio mbinu Mou anakuja nayo j2.
Manumbu nimekuona kwa mbali Mkuu...Leo ni furaha sn agosti 8 karudi ndani ya Nyumba.... Leteni maoni wakuu....
 
Last edited by a moderator:
😉:beer:🙁😎


22116_10153365081792259_8869593786408492662_n.jpg


Catch me if you can...
 
Mwaka Huu Watatukoma. VIjana wetu wamechukua UEFA YOUTH hivi juzi tu. Carling cup ishazoea makabati yetu. Soon EPL inaingia Darajani. na huku mademu zetu nao wako fit na wako juu!! mwaka huu vikombe vitapishana darajani, vinaingia tu utadhani huko nje hakuna timu nyingine!!!

http://http://www.bbc.com/sport/0/football/32273496


Chelsea Ladies 1-0 Liverpool Ladies
Eniola Aluko's second-half goal was enough for Chelsea to beat champions Liverpool as last season's top two met for the first time this year.

After a goalless first half, England striker Aluko put the hosts ahead by lobbing Reds goalkeeper Libby Stout.

Liverpool midfielder Fara Williams then had the chance to level from the penalty spot, but fired wide.

Her miss proved costly as Chelsea held on to secure their third league win out of three this season.

The Blues remain the only WSL 1 side to have a 100% winning record so far.

Liverpool, who beat Chelsea to last season's league title on goal difference, have now lost two of their first three league games.

Reds' boss Matt Beard, up against his former club, saw his side have most of the possession in a first half with few clear-cut chances.

Aluko had arguably the best opening of the first 45 minutes but, after bursting into the penalty area, dragged her right-footed shot wide.

At the other end, Gemma Bonner met Williams' cross at the far post, but headed over.

After the break, Aluko showed blistering pace to race onto Laura Coombs' ball and then calmly flicked a cheeky lob over goalkeeper Stout.

The visitors almost levelled moments later, but Asisat Oshoala blasted over from inside the penalty area.

Liverpool captain Williams was then presented with a chance to equalise, after the referee spotted a handball in the area, but she sent her penalty wide as Chelsea maintained an impressive defensive record which has seen them concede just once in their first three league games of 2015.

Chelsea: Lindahl, Blundell, Bright, Flaherty (capt), Fahey, Davison, Aluko, So-Yun, Rafferty, Coombs, Spence.

Substitutes: Hourihan, Groenen, Borges, Chapman, Brett, Meiwald, Banusic.

Liverpool: Stout, Harris, Easton, Bonner (capt), Murray, Schroder, Williams, Oshoala, Longhurst, Smorsgard, Dowie.

Substitutes: Gibbons, Ryland, Staniforth, Zelem.

Attendance: 878

Referee: Constantine Hatzidakis


_82419989_470341530.jpg _82419989_470341530.jpg _82419989_470341530.jpg

_82420101_470340894.jpg

_82421996_gemma_davison.jpg
 
Attack attack attack..... Hii ndio mbinu Mou anakuja nayo j2.
Manumbu nimekuona kwa mbali Mkuu...Leo ni furaha sn agosti 8 karudi ndani ya Nyumba.... Leteni maoni wakuu....

Kamakuna watu hata wao wenyewe wanajijua ni vibonde wetu ni Arsenal!! Mechi yetu huwa inawapa presha kuliko kawaida kuanzia kwa Mzee Wenger mpaka kwa akina Oxlade chamberlain! vijana wanapata shida kweli! babu nje yuko roho juu. ile mistari ya usoni inakuwa twice as normal! Arsenal ni watu wa kuhurumiwa kwa kweli. ingawa hivyo dominance yetu kwao wala haitovunjwa wala kudharauliwa this time. tunataka ubingwa mapema iwezekanavyo. tunataka tuanze kuwaona akina Solanke, Browns na madogo wengine wana perform vipi premier league tujipange kama tunawachukua akina Pogba, Gareth Bale, Verane au hawa vijana watatosha. bado nataka niwaone Liverpool wakipanga gwaride in honour of our championship na siku hiyo macho yangu yatakuwa kwa watu wawili, Gerrald (akiwa na painful face kwa kupoteza opportunity miaka ile ya kuja kuwa bingwa wa EPL na Rodgers kwa kukiri defeat kwa Mou)
 
ARSENAL FC ni timu nzuri; bt 'character' ya timu ni ya kawaida sana...

wanacheza vizuri; bt hawawezi kucheza dakika 90...

huenda wakatangulia kufunga;bt mwisho wa siku watatoka wanalia..

tunahitaji pointi 6 haraka ili tuwaache wagombee top 4.
 
RRONDO anaweweseka kwa kukosa kombe kwa misimu miwili mfululizo..
kama LFC tu..

tehe the tehe.

seriously??? nitakuwa na matatizo nikitegemea timu ile ya moyes na hali aliyoanza nayo LVG ipate kombe...labda itokee tu!!! mbona nimesema wazi,tungeambiwa mwanzoni mwa ligi kuwa tutakuwa wa tatu mwezi machi nyuma ya nafasi ya pili kwa point moja tungeshukuru sana....ila baada ya perfomance ya season hii,mwakani tukikosa hata capital one cup nitaweweseka.....target mwaka huu ilikuwa kuingia top four ambayo nafikiri tuna nafasi kubwa kuipata.


NASISITIZA TENA MKIWAFUNGA ARSENAL NIPIGWE BAN MWEZI MMOJA.....mimi sio Malafyale aliyetengua kauli zake

cc: Invisible Moderator
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom