RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,503
- 135,520
Wakuu tufanye tathmini kwa haraka haraka juu ya mchezo wetu na ManU Wa juzi huku tukiangalia tufanye nini ktk game ijayo......
Kwa kuanza mi nasema hivi mchezo wetu na ManU ulikua mgumu sn hasa kutokana na hawa makocha kuwahi kufanya kz pamoja....hii ilikua ni sababu moja kubwa kwa ule mchezo kua mgumu... LvG alikuja darajani akiwa anamfahamu vzr José.. Na José aliweza kumsoma LvG namna atakavokuja na mbinu zake zote na ile hali ya kupambana.....
Kuna sababu nyingine nyingi zilifanya ule mchezo uwe mgumu na ndio maana José alikua na ile approach na kupeleka ManU kuchemsha.
Kwangu Mimi mchezo wetu na Arsenal utakua ni mgumu na mwepesi sio km huu Wa ManU ulikua mgumu sn....ila ninaona kuna uwezekano mkubwa Mou kufanya mabadiliko kidogo hasa kwa Zouma hatoweza kupangwa sambamba na Matic ila naona Obi anaweza kuanza na Willian na Hazard kua wings....
Nisiseme yote niwakaribishe wadau wote Wa the blues ktk kuchambua.
Nacho sisitiza ni kwamba Emirates tunakwenda kuifunga Arsenal... Mou anakuja kivingine...
Karibuni.
Cc kunguru mjanja b5-click the say Mentor Manumbu ligera Root kalou Viol Kituko na wengine wooooote ambao sijawataja....
mkiwafunga arsenal naomba nipewe ban mwezi mmoja.
cc: Invisible Moderator
Last edited by a moderator: