RRONDO nimesema hapo nyuma kua hii sio habari kwasababu, hivi karibuni ManU alipoteza OT tena ktk kombe amabalo km mngesonga mbele na kulichukua lingeleta matumaini na kuamsha moyo ule ulipotea ktk timu karibu miaka miwili sasa.....lkn mlifungwa tena nyumbani kwenu na mkaaga mashindano. Lkn cha kushangaza vyombo vya habari ata hapa jf haikua habari kuuuubwa vile km juzi kwa chelsea ndio maana nimekwambia kua kua CHELSEA SIKU ZOTE IKIVURUNDA NDO INAKUA HABARI ATA HAPA JF SIKU HIYO UZI WA CHELSEA ULITEMBEA KWA PAGES ZAIDI YA 20 KWA MUDA WA MASAA MAWILI....VIPI ILE SIKU YENU NA ARSENAL MLIFIKIA KIWANGO HICHI.....
Haina haja ya kuongea kwa kutumia maguvu sn lkn ukweli unajionyesha kila sehemu ndio maana wachambuzi wengi watakuja na hoja zao na kuchambua huo mchezo kitu ambacho ata mimi Mtz ninaekaa Bariadi niliona mpira ulikua mbovu kwa timu zote siku hiyo.
BAK najua kimtazamo wewe unamuunga mkono Ibra ktk hayo maneno alitoa lkn mimi nimesema kua alichofanya sio kizuri kwasababu maana ya michezo haiko hivo....michezo sio chuki au kutoa maneno hovo tu pale unapoface media....Jose Mou baada ya kutoka Paris alisema wazi kua PSG walikua wachokozi na walikua wanatumia mbinu za maudhi na akatolea mfano namna walivokua wakitumia kuzuia Hazard au kuvunja zile Counter attack walikua wanacheza rafu...na hichi ndio walikuja kufanya darajani ata walipokua wanaface media walitoa maneno mabaya ambayo Mou alibidi wakati mwingine ajibu hizo maneno....na mbaya zaidi maneno yanatolewa na wachezaji kitu ambacho kwa maisha ya soka leo mchezaji yuko hapa na kesho yuko pale anaweza akajikuta ktk wakati mgumu kwa mashabiki au kocha pia....turejee sakata la Benitez pale alipokuja darajani mkuu.