Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

But...but...we had more
possession! But...but...we
dominated! But...hehehe...we'll
take the title next season!" are the
cries of those who don't know
what just hit them. Don't play
chess when all you know is
checkers.
 
Yaan ckutegea kabisa kama morinho angekuja na kikosi kama hicho leo...kaua wingazote za man u..dimba la kati acha kabisaa...jamaa ckudhan kama osca angeanza badala ya willium..jama anaplan kali sana
 
BREAKING NEWS:

Ajali nyingne ya tokea basi la Manchester united lililokua linafnya safar zake kutoka Mjini Manchester kueleke london limeacha njia na kutumbukia darajani. Mpaka sasa aliyefarki ni 1 na Majeruhi ni wengi sanaaaa chanzo cha Ajali ni mwendo kasi wa Oscar,Matic,Zouma,Harzad, na Fabregas..
 
kwi kwi kwi KTBFFH
 
walipoifunga man city goli nne wakajiamini sna..kuna wenigne wakaja humu na katuni za van gal kashika kichwa cha morinho...kejeli zikawa nyingi...pasipo kujua kwamba chelsea inaizid man u maeneo mengi ndani ya uwanja....
 
Yaani hiki kikosi cha leo ilipoanza nilijisemea mou anatania nini!...yaani kama mzaha vile
 
walipoifunga man city goli nne wakajiamini sna..kuna wenigne wakaja humu na katuni za van gal kashika kichwa cha morinho...kejeli zikawa nyingi...pasipo kujua kwamba chelsea inaizid man u maeneo mengi ndani ya uwanja....
week lote kelele tupu,uzuri wa chelsea wanatumia chance moja,sasa hangaika kurudisha
 
Cahill made an amazing block on Falcao, John Terry was amazing, the keeper was there for us all the time, Azpilicueta was for me the best player on the pitch and Ivanovic was fantastic. Matic worked like an animal, Zouma put Fellaini out of the game, our number 11 [Drogba] was another animal, fighting against two kids young enough to be his sons. Hazard was what you know, Oscar worked fantastically well, Ramires came in and gave us what we needed, Mikel came in for two minutes and held the ball.'

by mou
 
BREAKING NEWS:

Ajali nyingne ya tokea basi la Manchester united lililokua linafnya safar zake kutoka Mjini Manchester kueleke london limeacha njia na kutumbukia darajani. Mpaka sasa aliyefarki ni 1 na Majeruhi ni wengi sanaaaa chanzo cha Ajali ni mwendo kasi wa Oscar,Matic,Zouma,Harzad, na Fabregas..

Maskini manyuuuu!

Hazard huyu mmmbaya kama Nina lake!
 
huyu everlenk ingetokea wakashinda humu ndani leo tusingekaa....lakini ndo hivyo Mungu sio wasira!!

Naona hareply tena,wao kumpiga man city wameona ni ticket ya kutufunga,game ya mou anaijua yeye,shangaa sasa mechi inayofuata Chelsea wanaweza puuza game
 
Last edited by a moderator:
huyu everlenk ingetokea wakashinda humu ndani leo tusingekaa....lakini ndo hivyo Mungu sio wasira!!

Huyu wangu tuu leo, mwacheni. Nitamtibu kama nilivyowahidi.....

Mummy pole lakini tulishajua Kuwa kuna matokeo ya aina tatu, na tulijiandaa kwa yote. Pamoja sana.

Cc: everlenk
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom