Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

_82411611_chelsea_fans_pa.jpg
 
Chelsea tayari wamechukua ushindi
Ndio maana hata Boss mkubwa Kaka Abromoney kafurahia sana
 
Kama uamuzi ndio huu kila mwaka England itatoa wasindikizaji wa UEFA.
 
Hongereni sana wote humuuu,mcheza kwako hutuzw, siyo mbaya dent akiweka record kwa ticha, kapenat ketu mhhhhhhh!!
Ntuzu kunguru mjanja b5-click Mentor nipe utaratibu wa kale kabet kako niweke wapi......


Chenga tumewala lakini magol hamna........

Asante sn mamito Na pole sn maana mmepambana sn...
Biashara na nyie tumefunga tunahamia sasa kwa Gunners....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom