Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu Ntuzu nimepita kukusalimia pamoja na fans wote .... Naona msha-draft schedule ya kutembeza kombe


Mkuu nashukuru kwa kupita kaka....ngoma ilikua ngumu sn...inahitaji nidhamu na umakini mkubwa muda wote kukabiliana na timu iliyojitoa kwa chochote....

Kwa ushindi Wa Leo ubingwa lazima uje darajani Mkuu_!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nashukuru kwa kupita kaka....ngoma ilikua ngumu sn...inahitaji nidhamu na umakini mkubwa muda wote kukabiliana na timu iliyojitoa kwa chochote....

Kwa ushindi Wa Leo ubingwa lazima uje darajani Mkuu_!

Kwa hili gap kombe lenu tu labda tubishane tu ili kujaza thread teehe teehe i don't wait to see Mou mock the media
#cleargap
 
Headlines...

attachment.php
 

Attachments

  • 1429418021722.jpg
    1429418021722.jpg
    101.6 KB · Views: 284
Naomba kidogo mnichambulia kikosi chetu cha jana kwa nn special one alikuja kivile? Aliona nn kuanza na oscar badala ya willium?

Na kwa nini chelsea walikuwa wanacheza counter attack za kisomi kiasi hicho?

Ikiwaje man u speed yake kama ile ck anacheza na man city alishindwa kucheza?
 

chelsea-cahill-zouma-ivanovic-matic_3292469.jpg


Chelsea are two wins away from the Premier League title
Chelsea manager Jose Mourinho praised his side for executing the ‘perfect plan' after their 1-0 victory against Manchester United.

The Premier League leaders started Kurt Zouma alongside Nemanja Matic in central midfield as Eden Hazard's first-half strike extended their lead at the top to 10 points.

United enjoyed over 70 per cent possession during the game but that stat meant little to Mourinho, who enjoyed winning his tactical battle with Louis van Gaal.

"When you play in a strategic way you don't care about the stats, it's about the points. "We were very well prepared for them, we had a big heart, we fight and we were very focused on what we want," he added.

"Football is about talent but strategy is very important as well."

Mourinho's men, who face second-placed Arsenal next weekend, moved one step closer to the title after victory at Stamford Bridge.

Chelsea need just eight points from their last six matches or six form the next two games to wrap up the league but Mourinho insists his side, despite their advantage, are still fully focused on the job in hand.

He said: "The game was the game we wanted. The only thing we couldn't do was kill the game by scoring a second goal.

"We know they make the pitch big, they pass the ball very well. We decided to play in a certain way and the game was exactly what we wanted.

"We need our points. Today we wanted three points and our opponent lost three points, but we are focused on us."

Jose Mourinho praises 'perfect' Chelsea after Manchester United win | Football News | Sky Sports
 
Naomba kidogo mnichambulia kikosi chetu cha jana kwa nn special one alikuja kivile? Aliona nn kuanza na oscar badala ya willium?

Na kwa nini chelsea walikuwa wanacheza counter attack za kisomi kiasi hicho?

Ikiwaje man u speed yake kama ile ck anacheza na man city alishindwa kucheza?



Kuna sababu moja kubwa ambayo ilimfanya Mou apange kikosi kile. Hakutaka kupoteza ule mchezo kwasababu ata sare ilikua inamsaidia kubaki ktk mbio za kuwania ubingwa...ndio maana hakutaka kucheza mpira Wa Ku attack sn.....

Na pia ukumbuke kua km ManU wangepata goli basi angeweza kwenda ktk plan B ya kuattack...maana walivocheza vile Jana sio km walikua hawawezi kuattack...hapana. Walicheza vile kwa kufata maagizo ya kocha.. Kwahiyo km wangefungwa angewambia watoke wakatafute goli...
 
Kuifunga Man U msije mkajidanganya kuwa mtawafunga Majogoo wakija hapo kwenu!Nakuhakikishia Majogoo tutaondoka na points zote tatu Drajani!!

Najua hata nyie sasa mnayaogopa Majogoo


Tunahitaji point 6 mpk 8 ili tuwe mabingwa....na wewe tutakutana tarehe 9 mwezi ujao baada ya sisi kucheza na Arsenal, Leicester City na Crystal Palace na WBA...sasa hizo points tatu wewe njoo uchukue tu darajani...sisi tutakua tumeshafunga hesabu...
 
Nimeamin rushwa mbaya xana lkn sometime nzuri kwa upande mwingine,na mara nyingi aliezoea kutoa rushwa n vigumu kuacha kwa sababu anijua faida yake, ningependa kuchukua frusa hii kuwaasa vijana wenzangu tuiogope rushwa kama ukoma,tukiiendekeza rushwa hatutafika mbali,xawa wewe utaona unafaidika lkn wenzako wengi utawaumizao, usiharakishe kumeza subiri utanielewa tu,hakuna dhambi mbaya jama Rushwa aka Mrungula wengine hubadiri jina ili waiharalishe na kuiita "TAKIRIMA"Vijana wenzangu nimelazimika kulisema hili baada ya vitendo vya rushwa kuzidi kushamiri nchini na hata kimataifa na wengine juweza kuvuka hadi anga wakisambaza rushwa. Kwa mfano kuna kilabu moja yenyewe imeshaona hili suala ni sehemu yake ya maisha haisiti kufanya hivyo pindi ikiona mambo ni magumu kwake hawa ni Chelsea cku hizi ni kawaida yao ktoa rushwa kwa malaika Israel mtoa roho ili awapendelee inauma xana lkn IPO cku mtoa roho atakchokeni madhara yake mtayaona,mtatoa hongo ataipokea na bado atawashikisha adabu.
 
Naomba kidogo mnichambulia kikosi chetu cha jana kwa nn special one alikuja kivile? Aliona nn kuanza na oscar badala ya willium?

Na kwa nini chelsea walikuwa wanacheza counter attack za kisomi kiasi hicho?

Ikiwaje man u speed yake kama ile ck anacheza na man city alishindwa kucheza?

Mou anasema Willian alikuwa mgonjwa kalala siku 2 na jana alikuja akitokea nyumbani moja kwa moja kuja kusaidia timu ndo maana akamwingiza kiheshima kwa moyo aliouonyesha hata kama hayuko vizuri kiafya 100% lakini anaona anaweza kusaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom