Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

38’ - GOAL! Chelsea 1-0 Manchester United. Hazard scores --Terry tackles Falcao, and the striker loses the ball. Fabregas comes forward, finds-Oscar-who reverses a pass into Hazard's path, and he slides in a shot past De Gea.

cc everlenk unakumbuka ile back-heel ya Embaoba Oscar.
 
Last edited by a moderator:
Hongereni sana wote humuuu,mcheza kwao hutuzwa, siyo mbaya dent akiweka record kwa ticha, kapenat ketu mhhhhhhh!!
Ntuzu kunguru mjanja b5-click Mentor nipe utaratibu wa kale kabet ketu niweke wapi......


Chenga tumewala lakini magol hamna........lol

Mama wap jammbia mlango hujaufikia au bado
 
Last edited by a moderator:
kweli kuna watu na viatu,mshaanza kulia na refa tena hivi mlitegemea ktk kipndi hiki chelsea atapoteza mechi?sidhani ka hilo litatokea pamoja na baadhi ya wachezaji wetu kupungua kiwango

Kiwango hakijapungua, n plan tu hizo kaka we unaamin zouma kumpoteza fellain?
 
Tufurahi kabisa...
Shetani anakwenda na jambia paleeee... Loooh anatokea MBAYA NA MBAYA WAO (Mou) anampiga shuti Kali paleeee.. Shetani anaanguka na kuzimia

1429384901222.jpg

Haaaa... 1429385109766.jpg

Keep the blue flag flying high.. #KTBFFH
1429385233513.jpg

Mimi simo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom