Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahaha!!! Wanasema akuaanzaye.....waulizeni City wanaelewa... Halafu sisi biashara zetu ni asubuh asubuhi jion tunafunga mahesabu hatuna kungoja dakika ya 88, sisi ni ATTACK ATTACK ATTACK WIN WIN WIN......

Sawa nyie ni Attack Attack Win, ila sasa beki yenu ni ipi tena, maana hapo ujue unaposema attack, tukigeuza ni sucker punch, then tunawaita kati.
 
hahahaha!!! Huku tunaanziaga kucheza midomoni kisha tunamalizia kwenye uwanja...

Vipi leo naona uko na Lazio umejiandaaje??

Lazio leo atapata dozi kama tuliyompa the last time we met ili tukikutana naye kwenye fainali ya Copa Italia asiwe na chembe ya confidence
Hiyo mikwara unawachimba vidume humu utafikiri umefuzu mafunzo ya mind games, kila la kheri
 
English media zikikosa cha kuandika kuhusu the blues matokeo ndo haya, hahahah
 
Attachments

  • 1429363082698.jpg
    1429363082698.jpg
    35 KB · Views: 98
Lazio leo atapata dozi kama tuliyompa the last time we met ili tukikutana naye kwenye fainali ya Copa Italia asiwe na chembe ya confidence
Hiyo mikwara unawachimba vidume humu utafikiri umefuzu mafunzo ya mind games, kila la kheri

Teh teh teh asante mkuu hamna tunachangamsha jukwaa tu.......

Nikimaliza kazi ya kulivunja daraja ntakuja jamvini kwako kukupa kampani upatikane tu,hope ni saa 21 hrs kwa huku EAT au?
 
Teh teh teh asante mkuu hamna tunachangamsha jukwaa tu.......

Nikimaliza kazi ya kulivunja daraja ntakuja jamvini kwako kukupa kampani upatikane tu,hope ni saa 21 hrs kwa huku EAT au?

Karibu sana na utakuta nimejaa tele, game itakua 21:45 EAT, sasa utakujaa au ndio mpaka ulivunje daraja?
 
Last edited by a moderator:
What the match means

A Chelsea win moves them 10 points clear of Arsenal and 11 of United, which would all but wrap up the title with just six matches left to play.

A draw still leaves Chelsea in a handsome position to win the title, while a United win would see them leapfrog Arsenal into second and cut Chelsea's lead to five points (though the Blues will have a played a game less).

#KTBFFH ... #team_mabingwa
 
Recent meetings

The sides drew 1-1 in earlier in the season, when Robin van Persie's stoppage-time equaliser cancelled out Didier (MKUBWA NA WANAE) Drogba's opener.

Last year, Chelsea won the corresponding fixture 3-1 courtesy of a Samuel Eto'o hat-trick, and the match at Old Trafford finished in a drab 0-0 stalemate.
cc everlenk
 
Last edited by a moderator:
Injuries and suspensions

Chelsea will still be without the hamstrung Diego Costa, but Loic Remy could recover from the calf injury that ruled him out of Sunday's win at QPR.

John Obi Mikel is still recovering from a knee problem, and is a doubt.

Obi mbaba... Hata dk 10 tu uwafunze wale watoto... Na utukumbushe enzi tunampiga Liverpool Uefa..!
 
Recent meetings

The sides drew 1-1 in earlier in the season, when Robin van Persie's stoppage-time equaliser cancelled out Didier (MKUBWA NA WANAE) Drogba's opener.

Last year, Chelsea won the corresponding fixture 3-1 courtesy of a Samuel Eto'o hat-trick, and the match at Old Trafford finished in a drab 0-0 stalemate.
cc everlenk

Mark my word record hiyo inafutwa na record mpya kuandikwa....
 
Last edited by a moderator:
Yes, record mpya lazima iwekwe maana Chelsea lazima aongeze idadi ya magoli leo, magoli ambayo yatakuwa mengi kuliko ya Manchester United

Mechi yetu Na Man City ilikua mbaya sn baada ya ule mkwaju uliozaa goli Wa Remy hatukupiga tena mkwaju ktk shabaha....

Juzi tena kwa QPR tulipiga mkwaju mmoja tu ktk shabaha ndio uliozaa goli.....

Haya ni mambo ambayo yatakua yamefanyiwa kz tunapoelekea kukutana Na Utd
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom