Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndugu,
as the globe in general is taking measures towards combatting the effects of money laundering and financial crime due to its paramount effect on a nations economy, one cant help to wonder where do we stand a nation.
The Bank of Tanzania has a useful outline of legislation and circulars in place however I couldn't find the actual circulars,
However i came across Circular No 8 relates to suspicious activity and money laundering specifically. However one source states:
I also understand that they may be reviewing their Proceeds of Crime Act 1991 although I can't find any Bills on this at the present time.to my understanding it was brought to parliament sometime back in 2003 but it was pushed aside and schuduled to apear again before parliament this year
Tanzania does not have a body to supervise financial institutions, nor is it a member of the Egmont Group however it is a part of the Eastern and Southern Africa Anti-Money Laundering Group although they haven't yet published their evaluation for this country yet. Transparency International have placed it at 90 out of 146 for corruption (ie quite high as 146 is the most corrupt).

Hehehe mlitoaje jasho,poleni
 
Yaani hiki kikosi cha leo ilipoanza nilijisemea mou anatania nini!...yaani kama mzaha vile

Team ilipokuwa inaingia uwanjan ..namuona William bench, obi bench,RAMILES bench..kidigo niondoke kwa tv ila badae nikakumbuka kuwa hakuna special one zaidi ya mor nikaamua kukaa kuchek mtanange

Mara nawaina mashabiki wa man hawana raha wakidai leo tumeshikwa...furaha tu mie inanijiia
 
huyu everlenk ingetokea wakashinda humu ndani leo tusingekaa....lakini ndo hivyo Mungu sio wasira!!

Halafu wala hata siko hivyo Ntuzu ndo ananijua vizuri nikishinda sina maneno kabisa, sisi si mnatuita timu dhaifu bana tulikuwa tunakuja kupambana na timu kubwa sasa ulitaka nikubali tu kwamba mtatufunga? Usijali tulikuwa tunachangamsha jukwaa, hongera kwa ushindi
 
Last edited by a moderator:
Team ilipokuwa inaingia uwanjan ..namuona William bench, obi bench,RAMILES bench..kidigo niondoke kwa tv ila badae nikakumbuka kuwa hakuna special one zaidi ya mor nikaamua kukaa kuchek mtanange

Mara nawaina mashabiki wa man hawana raha wakidai leo tumeshikwa...furaha tu mie inanijiia
Leo Drogba kipindi cha kwanza alinikata sana acha acha,sijui mou huwa anamwingiza kwa kuamsha mashabiki?maana Drogba anasimamishaga mashabiki washabikie kwa nguvu
 
yaani mpaka na-quote paragraph za kule siasa bahati mbaya,poleni,goli moja iliwatoa sana jasho,naona now mmepoteza rasmi ndoto za ubingwa

Ubingwa unatania !!! Sisi plan yetu next year kwa sasa only top 4.....
 
Leo Drogba kipindi cha kwanza alinikata sana acha acha,sijui mou huwa anamwingiza kwa kuamsha mashabiki?maana Drogba anasimamishaga mashabiki washabikie kwa nguvu

Yaan kuwemo jina drogba ni tosha kabisa no matter atachezaje coz c uneona mwenyewe kulikuwa na beki wawili wa man u wakilinda jina drogba wakuweza kupanda mbele..chezea mor wewe??????
 
Tuseme ukweli England hamna kocha aliyemzidi Mou akili kwa sasa,ailikuwa Fagason,ila hata fagason alitolewa jasho,ila kwa sasa hamna wa kumsumbua Mou.

Kwa ku-pack bus na kuwakoromea marefaree na media hapo tunakubaliana bila wasi wasi. Chi uliona alikataa kuchema na media lakini kesho yake alikuwa na kilio akatokea Sky, kazee kazima hakana aibu, Chelsick ni umafioso tu hakuna lolote. Next Sunday jiandae na kapu la magoli whether you pack the bus or not. khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Yaan kuwemo jina drogba ni tosha kabisa no matter atachezaje coz c uneona mwenyewe kulikuwa na beki wawili wa man u wakilinda jina drogba wakuweza kupanda mbele..chezea mor wewe??????

Unanikela mwanangu... Andika kwa herufi kubwa DROGBA.. MKUBWA NA WANAE... KING.. DOUBLE D.. MAJINA KIBAO

Aseeh pale Darajani.. Kuna watu watu wa2
Didier Yaves Drogba na John Obi Mikel.. Nawakubali sana hawa jamaa.
 
Kwa ku-pack bus na kuwakoromea marefaree na media hapo tunakubaliana bila wasi wasi. Chi uliona alikataa kuchema na media lakini kesho yake alikuwa na kilio akatokea Sky, kazee kazima hakana aibu, Chelsick ni umafioso tu hakuna lolote. Next Sunday jiandae na kapu la magoli whether you pack the bus or not. khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Sikujibu ila nakujulisha tu sina mda wa kukujibu na usini-quote.

Over.
 
Sikujibu ila nakujulisha tu sina mda wa kukujibu na usini-quote.

Over.

Just omit Wacha1 on your profile ... you will not see my comments or else you do not know how to use the forum. Ask advice from moderator. Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom