Kama uamuzi ndio huu kila mwaka England itatoa wasindikizaji wa UEFA.
The Blues we are The Champions 2014~15 season! Anayebisha ni mnafiki zaidi ya mchawi.
kweli kuna watu na viatu,mshaanza kulia na refa tena hivi mlitegemea ktk kipndi hiki chelsea atapoteza mechi?sidhani ka hilo litatokea pamoja na baadhi ya wachezaji wetu kupungua kiwango
Hongereni chelsea, hongera kwa man of the match refarii.
Drajani alishakula mbili...tunaenda kumgongea ukweni
Huwa anapenda kuwaambia makocha wenzie uwanjani ni ushindi hizo nyingine ni mbwembwe hata mcheze vizuri mkafungwa mashabiki watawachukia lakini mkicheza kawaida lakini mkashinda mashabiki wanakumbuka ushindi siyo kiwango uwanjani.
The Blues we are The Champions 2014~15 season! Anayebisha ni mnafiki zaidi ya mchawi.