Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,387
- 10,965
mbona sasa hivi nimeanza kuwaogopa arsenal
Doh! Unaiogopa Arsenal?!? Nakuonea huruma....hiyo siyo timu ya kuogopwa aisee...Arsenal wanapaswa wakuogope wewe, bhaa!
mbona sasa hivi nimeanza kuwaogopa arsenal
Karibu sana usaidie kuchangamsha jukwaa letu.Siku hiyo itakuwa patashika nguo kuchanika maana mshindi wa mchezo huo kama kutakuwa na mshindi basi ndiye atakuwa amejiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa taji mwaka huu. Tukishinda basi itakuwa ni motivation kubwa sana kwetu kumaliza kwa kishindo na mkizembea tu katika mechi zenu zilizobaki itakula kwenu.
Nyiye furukuteni tu...ila mziki mnao tarehe 17 ya Mei pale OT.....
Kwani tulivyowapiga bao mlikuwa katika Uwanja wa Taifa Dar!?
Kwani tulivyowapiga bao mlikuwa katika Uwanja wa Taifa Dar!?
Eh! Kwani tunaongelea FA Cup ama EPL?!? Maana naona unasahau kuwa tulikupiga kwenu game ya kwanza!!
Chelsea/Mou amenza kuvuna penalties.
Link Chelsea news: Jose Mourinho defends 'penalty puzzle' article, saying City and Arsenal get more spot-kicks - Telegraph
Eh! Kwani tunaongelea FA Cup ama EPL?!? Maana naona unasahau kuwa tulikupiga kwenu game ya kwanza!!
wana Chelsea jiunge nasi on whatsap group world sport kila leo update tuma ujumbe on +15155180006.
Umeanza sasa.Nonda ktk ubora wake
Majogoo yameshapigwa mechi 8 kwenye ligi kuu msimu huu, inaonekana majogoo yanamatatizo ya kuwa "kamili"
Jogoo lishachinjwa halafu likaachiwa!!! Kinachofuata... #HeadlessChicken
What a goal from Charlie Adams
Mumshukuru huyu kipa kwa kuwapeni zawadi nzuri sana ya Pasaka.
Ntuzu lile goli la Charlie Adam lilikukuta ukiwa wapi?chini ya uvungu,kitandani,msalani au?!kocha wenu alikuwa anatafuna nyasi leo!
Ni kweli everlenk majukwaa yote tunakwenda lkn jukwa la LFC ni shida
kule sirudi kuna jamaa mmoja anapenda kutusi,huko ye ndo wa kuongea
threads zingine nipo ila ya hao majamaa nimeacha wache wajisifu bila mchango wa wengineKumbe tuko wengi! Mimi nilijiuzulu kuingia kule ni mabingwa wa matusi....wanataka umsifie SG na Liverpool kila kitu usifie ukiwapa ukweli tu kosa!