b5-click
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,194
- 2,114
Nadhani suala si formation ila ni rotation ya wachezaji, hiyo formation si ndio inatumiwa mpaka na academy? na labla kuswitch baadhi ya positions za wachezaji,
Kwa mfano me nadhani ni muda muafaka sasa Hazard awe anacheza kama no.10, aongezee creativity pale katikati na kumsaidia Fabregas kupasua kuta ngumu na hii itawapa nafasi wachezaji wengine kucheza winga ya kushoto, mtu kama Cuadrado au Remy
Just imagine Hazard acheze nyuma ya mshambuliaji, zile chenga zake, uwezo wake wa kuumiliki mpira, atakua anatengeneza magoli na nafasi ngapi kwa wenzake kufunga? Tofauti na kule pembeni ambako pamoja na mchango mkubwa anaotoa bado nahisi anaweza kusababisha madhara makubwa akicheza kama no.10
Fomesheni kutumika na academy sio ishu sana... Solanke si ndo mshambuliaji wa U-21 yuko vizuri labda akicheza peke take mbele.. Na juzi kapasha na timu ya taifa ya wakubwa.. He is good.
Mabadiliko ni muhimu na fomesheni pia, ambayo itaruhusu tuwe na washambuliaji wawili hadi watatu.