stupid goal keeper mbele kafuata nini
kule sirudi kuna jamaa mmoja anapenda kutusi,huko ye ndo wa kuongea
ndo huyo atakuwa,anapanik mnoMimi mwenyewe kuna jamaa mmoja alikuwa amekandia MANU nami nikamjibu hivyo hivyo kulingana na majibu yake alipanik mbaya.
huyu dogo huwa anafungwa magoli ya ajabuDogo anajisahau sana