Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sisi next ni vigongo tu Man city kisha wewe hapo duh!! Jambia letu ni lile lile jiandae tu . .......

Duo zangu zooooooote hao Man City muwaduge ili watoke nyuma yangu.

Mechi na nyie sitii neno usije ukaninuia lol!
 
mbona sasa hivi nimeanza kuwaogopa arsenal

Mkuu Viol mchezo wetu na arsenal mwepesi sn!

Kwanza Obi ameshaanza kufanya mazoezi na tarehe 18 atakua fiti!
Sasa Matic na Obi watatupiwa pale Kati alafu mbele yao atakaa Faby na Wings ni Hazard na Willian. striker yoyote yule hasahasa Remy ndio aanze. Huku kwa mabeki utanisaidiwa wewe!

Arsenal lazima apigwe
 
Last edited by a moderator:
Aisee nimecheka sana lol! Hahahahahahahaha

QUOTE=Viol;12354823]
11079534_10153198402507390_1925850360356768127_n.jpg
[/QUOTE]
 
Tunatisha na Chelsea lazima tuwanyuke tu na hivyo kupunguza gap na kuwa 4 points na wao wakiwa na one game on hand wakifungwa mchezo mmoja na kutoa draw miwili ya iliyobaki na sisi kushinda zote zilizobaki itakula kwao kwa raha zetu.

mbona sasa hivi nimeanza kuwaogopa arsenal
 
Tunatisha na Chelsea lazima tuwanyuke tu na hivyo kupunguza gap na kuwa 4 points na wao wakiwa na one game on hand wakifungwa mchezo mmoja na kutoa draw miwili ya iliyobaki na sisi kushinda zote zilizobaki itakula kwao kwa raha zetu.

Umeamua kuota mkuu, huyu Mungu sio wenu peke yenu
 
Tunatisha na Chelsea lazima tuwanyuke tu na hivyo kupunguza gap na kuwa 4 points na wao wakiwa na one game on hand wakifungwa mchezo mmoja na kutoa draw miwili ya iliyobaki na sisi kushinda zote zilizobaki itakula kwao kwa raha zetu.
hiyo ngumu sana
 
BAK huo mchezo hauko mbali! Sisi tutakuja kutafuta draw tu hapo kwenu!

Kwanza huo mchezo tuweke pembeni...ngoja tumalizane na ManU kwanza!
 
Last edited by a moderator:
Nani awape draw Mkuu Ntuzu!? Siku hiyo ndio tutacharuka ili kuhakikisha tunawanyuka....bado tuna nafasi nzuri sana ya kuwaondoa kileleni kama mtazembea katika mechi zilizobaki.

BAK naona kushinda hii michezo kuna kufanya uanze kuona kua unaweza piga yoyote!

Narudia tena BAK mkipata sn huo mchezo ni sare! Na sisi hiyo sare ndio tutakuja kuitafuta na kuifanyia mazoezi. Na kukupiga itakua ni chaguo la pili!
 
Last edited by a moderator:
When you believe in your ability to excel, anything is possible under the sun Mkuu Ntuzu.

Hizi tambo mkuu hebu tuziache tutakuja kuziongelea sn huo mchezo utakapo karibia! Tena Mimi binafsi ntakuja kuweka kambi ktk thread yenu!
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana usaidie kuchangamsha jukwaa letu.Siku hiyo itakuwa patashika nguo kuchanika maana mshindi wa mchezo huo kama kutakuwa na mshindi basi ndiye atakuwa amejiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa taji mwaka huu. Tukishinda basi itakuwa ni motivation kubwa sana kwetu kumaliza kwa kishindo na mkizembea tu katika mechi zenu zilizobaki itakula kwenu.

Mkuu hilo wala lisikupe tabu hapo ktk thread yenu nitakuja kuweka kambi na kurusha tambo mingi sn ndio maana nimesema kwasasa tuache kwanza! Ngoja tukacheze na QPR alafu ManU then ndio tunakuja kwako!

Na ukumbuke mkuu hii michezo mwili kabla ya kukutana na wewe hatutopoteza mchezo ata mmoja...sasa hayo mawazo ya nyie kumaliza kwa kishindo unayatoa wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom