everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
Cuadrado anatakiwa abadilike sn ktk uchezaji wake vinginevo atatolewa kwa mkopo huyu
Naona sasa umeweka 20000 GB unafunguka kweli.... Lol
Cuadrado anatakiwa abadilike sn ktk uchezaji wake vinginevo atatolewa kwa mkopo huyu
Naona sasa umeweka 20000 GB unafunguka kweli.... Lol
huu mpira si uishe tu
sasa je kama umeshinda utafanyaje mtaniMtani unaomba pooo???
point 3 hizi muhimu na tupo nyuma game moja tuna sababu za kujipongezaFT Chelsea 2 Stoke City 1
Mupenziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii lol!
Mtani unaomba pooo???
Hongera sana mumie kwa ushindi