Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Chelsea ndio wanaanza kucheza sasa. Wameamka baada ya kuamshwa.
Kz sn mkuu....
Chelsea ndio wanaanza kucheza sasa. Wameamka baada ya kuamshwa.
Wabongo wanavyoshangilia mtaani daah sijui Mreno wa watu aliwakosea nini!
Mreno mropokaji...
Eti special one...!!
Sheria zinasaje game ikiisha hivi?
Najua watu wa Man roho kwatu!
Sheria zinasaje game ikiisha hivi?