Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jamaa wakipata goli la pili ndo tumetolewa.

Tuna mechi ngumu sana leo kaka, jamaa wametuzidi ujanja kiasi, maaana wamefanikiwa kuliziba kabisa pengo la Ibra na wanacheza kama wako timamu
 
psg ikipata goli la pili ndo tutakuwa chelsea tumetolewa,hapa nimepiga magoti uvungi,nikimwomba mungu ya yohana,petro,musa,zakayo,nasali mpaka makamasi yamekuwa malaini

Pole sana
 
Kwenye mpira hamna fairness kabisa. Ni haki kweli kosa la mtu mmoja lisababishe timu icheze pungufu dk 100? Blatter angelie hizi
 
Courtouis ni keeper mzuri ,,, lakini hatimaye kapatwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom