Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ni kweli mimi napenda balanced game. Kuna mechi za chelsea ni bora kuangalia championship matches.

Hiyo unayopenda wewe , kushinda mechi bila kucheza mpira ndio wengi wanamponda Mou kwa kuharibu kabumbu kwa mbinu ya ku-pack basi.

Kama uliangalia jana Barsel na Porto. Barsel hawakukaa tu kulinda lango hata pale walifungwa...that is football. Wala Porto baada ya mabao 2 hawakujikalia na ku-pack basi...Thats is football.
timu au vilabu ya uarabuni vikishashinda mechi ya kwanza wanalala kabisa uwanjani mda uende,chelsea wanasaka kabumbu,sasa kama chelsea wanapaki basi kwanini timu zingine zikikutana nazo wasibuni mbinu za kutoa basi??
 
Hii tactical approach ya rentboys ndiyo unafanya nimwone Maureen mjanja mjanja....sasa upo kwenye home turf, una advantage ya goli moja la ugenini, una advantage ya idadi ya wachezaji, kisha unapaki basi kwako?!?
 
naona bado wanacheza na shilingi chooni, psg wakifuma kagoli tu basi itakuwa patashika nguo kuchanika uwanjani kwa chelsea. Dakika ya 69 bado 0-0
usijali goli kupita kwenye nyavu ya chelsea ni sawa na ngamia kupenya tundu la sindano
 
Refa anawabeba kabisa Chelsea,kama Zlatan alipewa red hii ya Costa nayo ni red card
 
Naona bado wanacheza na shilingi chooni, PSG wakifuma kagoli tu basi itakuwa patashika nguo kuchanika uwanjani kwa Chelsea. Dakika ya 69 bado 0-0



Jamaa wanafanya mdhaha ngoja wafungwe.
 
Refa anawapa Chelsea chance zote lkn hawataki kushinda
 
Watu mnaliga kelele kuhusu kadi mnasahau kua hawa PSG mbinu wanayotumia kuwazuia chelsea ni kuwachezea rafu. Hili lilionekana tangu game ya kwanza kule kwao

Rafu ambazo ni bookable offenses ama?
 
hii tactical approach ya rentboys ndiyo unafanya nimwone maureen mjanja mjanja....sasa upo kwenye home turf, una advantage ya goli moja la ugenini, una advantage ya idadi ya wachezaji, kisha unapaki basi kwako?!?
ligi kuu inamsubiri,usimponde anayeshinda mpe support na umwombe mbinu akupige tafu
 
Hii tactical approach ya rentboys ndiyo unafanya nimwone Maureen mjanja mjanja....sasa upo kwenye home turf, una advantage ya goli moja la ugenini, una advantage ya idadi ya wachezaji, kisha unapaki basi kwako?!?



Arsenal alikufanya nini
 
Refa anawabeba kabisa Chelsea,kama Zlatan alipewa red hii ya Costa nayo ni red card

Ona walivyomzonga refa

B_2Ah06XAAAWIsc.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom