Kwanini chelsea inasukumwa nyuma na watu wako nusu
Dah sina lakusema
Tuna mechi ngumu sana leo kaka, jamaa wametuzidi ujanja kiasi, maaana wamefanikiwa kuliziba kabisa pengo la Ibra na wanacheza kama wako timamu
Chelsea ndio wanaanza kucheza sasa. Wameamka baada ya kuamshwa.uwiiiiiiiii
bado dk ngapi???
Dah sina lakusema
CL is a different league aisee...