palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Usimchezee Mourinho kabisa, ni master wa hii kitu, noma sana. Wengi walisema tunafungwa kwasababu ya kukosekana kwa Matic, sasa sijui watasemaje tena!
Full shangwe, Leo ni siku njema sana.
nafasi ya Matic akamweka Zouma ...wakati mwingine mourinho kumuelewa ni kazi kweli...
Naona kila mtu anayaogopa majogoo!
Siyo kweli, Kumbuka wakali darajani walivyokutemesha taji mwaka jana.
ahahahahaha.
ukiwa shabiki wa timu bora rahaa sana wajameni!
morinho the special one analeta ndoo ya kwanza hiyooo!
Leo nina furaha sana ikizingatiwa leo ni BirthDay yangu!
Happy born day bro, unasherehekea na kombe letu la kwanza kwa msimu.