Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mungu bariki ili chama
 

Attachments

  • 1425225976951.jpg
    1425225976951.jpg
    73.8 KB · Views: 128
Ramires amenawa mpira katika harakati za kuokoa...nafkiri angekuwa mchezaji wa Tot Mourinho angepata cha kuongea..
 
So far hamna shambulizi la maana!
You wish MAJOGOO yangecheza fainali muone mpira wa kufurahisha
 
Terry, Zouma, Cahil, hawa wote c mabeki wa kati? ni uoga au ni mbinu mpya ya Moh?
 
MAJOGOO ndiyo wawe wanacheza kila fainali
Watu wamelipa kuona soka maridadi na soka hilo wataliona kwa MAJOGOO tu kwa sasa

Liverpool ni Barca ya Uingereza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom