Mechi so far ni nzuri aiseeeee
So far hakuna kitu. Can you compare na gemu iliyokwisha ya Liverpool 2 - ManCity 1?
Mechi so far ni nzuri aiseeeee
MAJOGOO ndiyo wawe wanacheza kila fainali
Watu wamelipa kuona soka maridadi na soka hilo wataliona kwa MAJOGOO tu kwa sasa
Liverpool ni Barca ya Uingereza
So far hakuna kitu. Can you compare na gemu iliyokwisha ya Liverpool 2 - ManCity 1?
Karibu sana huku tunaongoza 2-0
kombe letu hili, tumelinyanyua misa ya kwanza. the blues mpo? na haters mpo au mnapumulia mashine? chezea mourinho wewe!
Cha 3 hicho naona wameamua kutusaidia haha haaaaa
Hongereni wakuu
Mmetwaa ndoo ya kwanza msimu huu