Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ma-engineer wetu wa kuchora raman ya magoli tayar wapo tayar kabisaa ushindi lazima
 
Hata nyie sasa najua mnayaogopa MAJOGOO

Tujikumbushe michezo mitatu uso kwa uso kati ya Chelsea na Liverpool msimu huu.

Chelsea ameshinda michezo miwili na amepata draw moja na LFC kapata draw moja tu lkn mingine yote kapigwa KO sasa sijui nani anamuogopa mwenzake?

Teh teh teh teh teh teh teh..................
 
Hayo mambo ya zamani kaka,kumbuka hata Man City alitupiga 3
Kumbuka hata ww ulishinda 2-1 kiurahisi tu kwangu lkn Capital one ukashinda kwao Darajani kwenye dakika 120

Kikubwa zaidi ktk points 33 za mechi 11 tumepoteza points 6 tu tumekusanya points 27!Stats hizi zinaonyesha unayaogopa MAJOGOO
 
Karibu ushuhudie kombe la kwanza likitua darajani....
 
_81320636_headtohead_hero_bbc.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom