Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

wakuu mmeonaje leo Zouma alivyomudu namba sita. Amecheza vizuri sana nadhani kwenye big match awe anacheza yy na matic aende nane. vipi mawazo yenu wadau.

Mh!!! Zouma hawezi cheza 6 kisawasawa coz ht leo km uliona ilifkia stage anabutua tu yule ni beki, but Matic ndo best for 6 ana dribble+intercept+block+anapandisha team+he score so huyo ndo #6 .
 
aa6464d6-d016-4045-9272-2ff4ea55b67d-1020x684.jpeg


Ankal,

shukran kwa mipicha mazee!!

One down, two to go!
 
Last edited by a moderator:
wakuu mmeonaje leo Zouma alivyomudu namba sita. Amecheza vizuri sana nadhani kwenye big match awe anacheza yy na matic aende nane. vipi mawazo yenu wadau.


Alicheza vzr ktk hiyo nafasi lkn km Matic yupo haina haja ya yeye kupangwa.... Na pia kwa jana alichoka sn kuna kipindi alikua anakimbia km anajikokota vile hasa ukizingatia ana mwili mkubwa na kusprit mbio huku na huko kila mara kwake yeye inakua shida. Ila amecheza vzr lkn kuonekana huko kwake kucheza vzr ktk hiyo nafasi kulisaidiwa na Faby na Ramires, hawa watu watu jana wamecheza shughuli sn walipandisha mipira mbele na kushuka kukaba km unaweza kukumbuka hakuna Mipira mingi kwa jana iliyoweza kumfikia yule jamaa Kane. yani pale kati chelsea walikua ni wagumu sn kupitika ktk viungo vya. Alfu unajua Mou kumpanga Zouma iliwasaidia in mind kina Faby na Ramires kucheza kwa uhuru kukimbia huku na kule kwasababu wanajua Kurt yupo nyuma yao.

Pia jana hatukuona makross mengi ya Spurs kutoka kwa kina Townsend na Rose na Walker kwasababu kina Willian na Hazard pamoja na kupandisha timu mbele lkn bado walikua warudi kukaba sn ilifikia hatua wakiwa wanakaba anabaki Costa peke yake kule mbele....Spurs wakapotea kabisa na kushindwa kuingia ktk lango la chelsea kiurahisi.


Cuadrado alipoingia akawa anakaba tu nyuma, sasa hapo ndio patamu. maana Ivanovic anaingia ndani na kwa asili huyu ni beki wa kati sasa hapo kati panakua na Terry, Cahill, Ivanovic na Zouma na pembeni Azpi na Cuadrado....hivi hapa unategemea kupita kweli na upate goli?


Kitu kingine jana ambacho nilikiona ni ubora wa pass, chelsea walicheza mfumo wa kulinda kimtindo lkn walihakikisha wakipata mpira pass zifike kwa mlengwa na goli la pili linadhihirisha hili.

Big up sn kwa Mou....mzee wa mikakati na jana vijana wake wamefanya kwa asilimia mia yale yote aliyo waambia.

KTBFFH
 
Najua ubingwa wenu wa Capital Cup umenogeshwa na MAJOGOO kumfunga Man City jana!

Lkn Ntuzu na kalou na Manumbu nawaambia yaliyomkuta Man City leo yanakukuta wewe hapo hapo kwako darajani!Liverpool huyu hata Barca hawezi toka salama popote pale

Anyway hongereni sana kwa ushindi wa jana,mlistahili
 
Last edited by a moderator:
watu wa liverpool nawapendea attitude yenu ya die hards!! yani nyie watu na timu yenu. kwanza ni vigumu sana kukuta vijana wakiwa liverpool. wengi wenu ni middle ages kwenda juu. vijana ni wachache sana!! na mlivyo na moyo na timu yenu ambayo kwa miaka mingii ipo ipo tu.

ushindi wenu kwa man city jana ni icing tu kwenye keki yetu. htama man city wangeshinda hilo lisingetusumbua kabisa jana maana tuna game moja kibindoni. so kurudisha gap la point 5 isingekuwa 'inshu' kwetu


Najua ubingwa wenu wa Capital Cup umenogeshwa na MAJOGOO kumfunga Man City jana!

Lkn Ntuzu na kalou na Manumbu nawaambia yaliyomkuta Man City leo yanakukuta wewe hapo hapo kwako darajani!Liverpool huyu hata Barca hawezi toka salama popote pale

Anyway hongereni sana kwa ushindi wa jana,mlistahili
 
BIG RESPECT chama langu CHELSEA umenifurahisha mapemaaa huku naendelea kusubiria UEFA na EPL

UEFA?
Ehehehehehehe my home boy why are you cranking up my ribs bana?Beki ya kati Zouma na Cahil uchukue CL?Wakati ungine muache masihara tafadhali
 
Najua ubingwa wenu wa Capital Cup umenogeshwa na MAJOGOO kumfunga Man City jana!

Lkn Ntuzu na kalou na Manumbu nawaambia yaliyomkuta Man City leo yanakukuta wewe hapo hapo kwako darajani!Liverpool huyu hata Barca hawezi toka salama popote pale

Anyway hongereni sana kwa ushindi wa jana,mlistahili

Mashabiki wa liva mnafurahishaga sana, sasa besiktas kakufanyia kitu mbaya halafu unamtaka barca!!!!!? Na chelsea hamtuwezi lkn bado maneno kibao bac tusubiri mechi darajani tuone
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma comments za kocha BR asema sasa anaiwazia nafasi ya TATU KATIKA MSIMAMO YA LIGI.Tunaana kumshusha Mau, na atafuata Arsenal
 

Attachments

  • 1425283042725.jpg
    1425283042725.jpg
    52.3 KB · Views: 135
  • 1425283071167.jpg
    1425283071167.jpg
    62.4 KB · Views: 135
kwenye any football game au niseme game yoyote ile, the best weapon kuanza nayo ni kuweza kujiinda. lazima defence isipenyeke. na ndicho tulichokifanya jana. hata Thierry Henry ameliona hilo na kulikiri


One of the greatest strikers of this generation, Thierry Henry knows a bit about exploiting defenses.

What does he know about exploiting Chelsea's defense?

It's hard to do.

Following Chelsea's 2-0 win over Tottenham in the Capital One Cup final, Henry said that despite all the big names such as Costa, Hazard and Fabregas, the Blues' dominance starts on defense.

He (Mourinho) came to do a job with his team and they did it.

They don't defend because they have to – they love and enjoy to defend. They live to defend, you can see that every time, that's why most of the time they play a final they end up winning it."

Mourinho's starting lineup surprised many, as Gary Cahill slotted alongside John Terry in the center of defense while the young Kurt Zouma was handed a start in midfield with Ramires. Zouma was forced into the role due to the suspension of Nemanja Matic.

The plan worked, as Mourinho's men stayed tight defensively and Tottenham failed to create many clear-cut chances on net. The manager praised his team, saying the players were strategically "fantastic".

Arguably the best manager in the world right now, Mourinho said he has a specific way he tackles finals of competitions, and with the number of trophies he's won, he clearly has it figured out. Chelsea avenged a shocking 5-3 loss to Tottenham in January, shutting out Spurs and earning their first piece of silverware on the quest for the treble.

Thierry Henry on Chelsea: "They live to defend" | ProSoccerTalk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom