Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Zouma vs cahill

Cuadrado vs Willian
 
Attachments

  • 1425106039853.jpg
    1425106039853.jpg
    79.1 KB · Views: 82
Hivi hapo kati hatuna mbadala wa Ramires jamani???!

Mbadala wake ni Obi lkn sijui km Obi amepona vzr au lah....lkn km uliona mchezo wetu na PSG Ramires alicheza vzr sn....tena mi naona hiyo imekaa vzr maana hayo majukumu ya kukaba na kupandisha mpira juu yatakua ya wote wawili faby na Ramires. Na kwa mtazamo wangu hawa watu ni mafundi sn na wanakimbia sn ingawa naona km Faby anachoka sn lkn km watajituma vzr wote wawili ktk nafasi hiyo basi Spurs watakua na kz kubwa sn ya kutuzuia.
 
Ramirez hana discipline na composure ya Matic pengo litaonekana tu!
 
Jose is totally right on this. He can be dramatic but he is on point. I wouldn’t even call it bad luck anymore. There is way too much lopsided decisions being made on Chelse. Matic has every right to stomp that idiot for trying to break his leg. That red card should be reversed because what Matic did is not worthy to have him miss three games let alone one.

Post I saw on the Guardian: Liverpool get a penalty every 6.5 games in the BPL and every 6 games in the CL this season. Arsenal get a penalty every 3.7 games in the BPL and every 6 games in the CL this season. Manchester City get a penalty every 3.7 games in the BPL and every 3 games in the CL this season. Chelsea get a penalty every 13 games in the BPL and every 1.5 games in the CL. Chelsea have the best attack in the league according to goals. That’s right, the best attacking team in the league earns penalties in the CL at a rate doubled of that of their competition. Yet those same teams are getting penalties almost 4 times faster than Chelsea in the BPL. Odd, considering that aside from Chelsea, the penalties earned rate is very similar between the CL and BPL. Less than a goal for MCFC/LFC, less than three for AFC yet an alarming 11.5 difference for Chelsea. Why has this not been up for discussion?

Jose Mourinho eviscerates referees and media on morning TV appearance | ProSoccerTalk

Manumbu & Chelsea fans,
Hakuna campaign dhidi ya Chelsea,msimu huu marefa wa England wamekuwa kwenye kiwango kibovu sana na hayo makosa yanatokea kwenye timu karibia zote ,mfano game zilichochezwa last week Arsenal walipewa penati ya utata ,game ya Southampton refa alifanya makosa karibia 6.Southmpton walinyimwa penati 3,kipa wa Liverpool alidaka mpira nje ya 18 makosa yote hakuna hatua aliyochukua
 
Last edited by a moderator:
Ramirez hana discipline na composure ya Matic pengo litaonekana tu!

Wakati Matic hajaja chelsea msimu uliopita Ramires alikua anacheza vzrnafasi hiyo. Lkn pia sioni km hili pengo la Matic litaonekana kwasababu hapo kati kutakua na watu watatu, Ramires, Faby na Oscar. Hawa watu wakicheza vzr ktk kiwango chao na kujituma basi wewe binafsi utakuja hapa na kusema hakukuonekana pengo la Matic.

Mimi nawaamini wachezaji wote wa chelsea kua ni bora na wana uwezo na nitakutolea mfano kidogo hapa. Costa alifungiwa michezo mitatu na ktk hiyo michezo kuna watu na wachambuzi mbalilmbali walisema kua chelsea itapata matokeo mabaya bila Costa na huenda ikapoteza baadhi ya michezo.....lkn hakuna mchezo ata mmoja ule chelsea ilipoteza bila ya kua na Costa na sasa wanakuja kuhusu swala la Matic.....

Binafsi sina shaka ktk hilo nachotaka kujua km Obi kapona kabisa au vp. Viungo wa kati na wa pembeni wako vzr tu ata km Matic hayupo.

Na kitu ninachokiona ni kwamba Faby na Ramires watakua PACHA ktk hiyo nafasi ndio sababu ya Oscar kucheza nyuma ya Costa, huu upacha wa faby na Ramy utaleta shughuli tamu sn maana hawa jamaa ni wepesi na wana mbio kuliko Matic....watapiga box to box ya kufa mtu mkuu.
 
ni kweli Belo marefa wanafanya makosa. lkn hizo statistics ulizoziona hapo hazikuoneshi kuwa kuna timu imekuwa victim wa makosa mengi sana ya marefa. ukishakubaliana na taarifa hiyo kama inavyoonekana kwenye hizo statistics then ujiulize kwa nini hayo makosa kwa timu hiyo zaidi? hapo dhana ya kuwepo kwa makubaliano ya hujuma huwezi kuikanusha au kuipuuza kirahisi

Manumbu & Chelsea fans,
Hakuna campaign dhidi ya Chelsea,msimu huu marefa wa England wamekuwa kwenye kiwango kibovu sana na hayo makosa yanatokea kwenye timu karibia zote ,mfano game zilichochezwa last week Arsenal walipewa penati ya utata ,game ya Southampton refa alifanya makosa karibia 6.Southmpton walinyimwa penati 3,kipa wa Liverpool alidaka mpira nje ya 18 makosa yote hakuna hatua aliyochukua
 
The referee threw the match against Burnley because he doesn't like Mourinho. The hand ball that wasn't called. When Diego Costa got shoved to the ground in the area and it wasn't called. Either that referee is incompetent or had a bet on Burnley. Either way. That referee has got to go or English Football has no credibility.

worst officiating in any kind of professional sports i have ever witnessed was that beween chelsea and burnley . i have never seen any worse officiating in my life, period.

http://sports.yahoo.com/news/mourin...amaged-barnes-controversy-231653666--sow.html
 
Mkuu bak tu refresh back na matukio ya nyuma ya capital cup(carling cup) kwa msaada wa picha zaidi.
 
Jaman nilipigwa ban cjui kwa nn yaan bado cjajuakosa langu kabisaa
Cc invisible
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom