Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Not a foul. Matic ndio alimfata jamaa, jamaa alikuwa na mpira na wakati anapiga mpira Matic alijileta full force wakati jamaa yuko katika move ile ya kuondoa mpira. Ndio sababu mwamuzi hakutoa adhabu, sio kwa sababu hakuona. Wachezaji wa Chesea wangemzonga mwamuzi kama kawaida yao basi Barnes angepewa yellow. Lakini kama umeangalia basi hivyo ndivyo ilivyokuwa.

Haya Mr bradford
 
Hahahaha kuna watu humu klabu zao zimewashinda ndio maana washabikia chelsea kiaina, wapi livafools wapi aseno ktbffh
 
[h=1]Chelsea sign £40m-per-year shirt deal with Japanese tyre company
_81274889_hi026077489.jpg

BBC Sport - Chelsea sign £40m-per-year shirt deal with Japanese tyre company
Team haiwezi kupata mikataba minono kama hivi kama haina perfomance nzuri

Forever BLUES

[/h]
 
Last edited by a moderator:
kama perfomance ingekuwa kigezo mngepata mkataba mnono zaidi ya liverpool na man utd

cc: Nzi Malafyale

umeisomam hiyo Habari?, mbona nimekuwekea link hapo?

Nani kakwambia Liverpool ana mkataba mnono?,

hii ndio link hebu soma basi BBC Sport - Chelsea sign £40m-per-year shirt deal with Japanese tyre company

Chelsea have signed English football's second biggest shirt sponsorship deal - worth a reported £40m per year - with a Japanese tyre manufacturer.
The five-year deal with Yokohama Rubber Company eclipses the £18m-per-year-deal the club signed with Samsung in 2006.
Manchester United's seven-year deal with US car brand Chevrolet remains the biggest, worth around £50m per year.
 
kuna mkataba liverpool wamepata 100m per year au ?? lakini perfomance yenu ni ya juu sana kuliko man utd and still mmepata hela kidogo! kwahio still niko sawa kuna zaidi ya perfomance kupata mkataba mnono!
 
Kaka Samsung walikuwa wanawalipa Chelsea 18mil pounds kwa mwaka, hawa wajapan Yokohama wanalipa 40mil pound kwa kwa mwaka, we uoni hayo mabadiriko makubwa sana?

uko sahihi....nimechanganya na ule mkataba wa kit manufacturer, ndio liverpool na man utd walipata dau kubwa kubwa, huo wa shirt logo ni tofauti.
 
Wewe ni moja ya mashabiki/wapenzi bora kabisa wa mpira, unaongozwa na busara na unasimamia ukweli, tofauti na wengine wengi, mashabiki kichefuchefu, wao ni matusi na maneno ya chuki dhidi ya wengine....Hongera sana mkuu RRONDO, na wengine wabadilike wawe kama wewe mkuu.
 
Last edited by a moderator:
kama perfomance ingekuwa kigezo mngepata mkataba mnono zaidi ya liverpool na man utd

cc: Nzi Malafyale

Sasa wewe nani kakuambia liva katupita, sisi ni second afta man u, hebu angalia gap kati ya this deal na the last one halafu predict next deal itakuwaje... Sisi ndo baba zenu epl
 
Last edited by a moderator:
kama perfomance ingekuwa kigezo mngepata mkataba mnono zaidi ya liverpool na man utd

cc: Nzi Malafyale

According to the news you quoted above, Chelsea are now one of the world's most recognised sporting brands with an estimated 500m fans and were the most watched English side worldwide last season with 31,000 broadcast hours.

Hapo kwenye most watched English club duniani msimu uliopita pana ukweli wowote?
 
duh hio figure inatisha. kila ninaposoma nakuta man utd namba moja ikiwa na around 350m fans worldwide, lakini hapo chelsea ina 500m fans na ni one of the teams with many fan not the top, may be updated datas zinaweza kuwa akina man utd,real na barca ni zaidi ya 500m fans.

kuhusu most watched im not really sure kwasababu kwenye epl bingwa ndio huwa anapewa live games nyingi na chelsea hakuwa bingwa na ukifanya utafiti mdogo tu kwenye baa zinazoonyesha mpira kukiwa na mechi ya arsenal/man utd/liverpool na mechi ingine chelsea wengi wana opt kuangalia hizo timu tatu nyingine except washabiki wachache wa chelsea,neutrals hawaangalii sana game za chelsea.
 
  • Thanks
Reactions: EMT

mkuu ukiwa unarefer huko uliko sengerema usigeneralize kwamba arsenal sijui man u ndiyo zinapendwa kama vile umeanza kutazama mpira jana,usiangalie hapo ulipo angalia world wide
 
Labda watakuwa wamejifagilia wenyewe bse kuna kipindi Man Utd walikuja na figure zao kuwa wana fans zaidi ya milioni 600.

I thought Man Utd, Liverpool na Arsenal wana mashabiki zaidi.

http://ichef.bbci.co.uk/onesport/cps/400/mcs/media/images/65209000/jpg/_65209699_fanbase_bbc.jpg

Inawezekana labda kwa sababu Chelsea ilienda mbali zaidi kwenye Champions League.

Pili Man Utd vs Arsenal fixtures kwenye ligi siyo popular sana kama ilivyokuwa zamani. Imebakia unazi tuu na labda neutrals wengi would prefer to pay to watch Man City vs Chelsea than Arsenal vs Man Utd.
 
sina maana man utd vs arsenal, no i mean man utd vs other teams.....na arsenal vs other teams kuhusu kufika mbali champs league sijui...kwani kuanzia group stage hadi ubingwa ni mechi ngapi?
 
mkuu ukiwa unarefer huko uliko sengerema usigeneralize kwamba arsenal sijui man u ndiyo zinapendwa kama vile umeanza kutazama mpira jana,usiangalie hapo ulipo angalia world wide

sawa mkuu...data za world wide ziko wazi,man utd ndio timu yenye wapenzi wengi duniani ikifuatiwa na real na barca, ila za huku kwetu sengerema ndio nimeona hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom