Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

"First, an Ivanovic shot struck the raised arm of Kightly and then Costa appeared to be pushed over by Shackell as the Burnley defender tried to make up for giving the ball away to the Spain striker."
 
Attachments

  • 1424598058150.jpg
    1424598058150.jpg
    21.5 KB · Views: 96
Kwa hiyo, cChelsea ishinde hata kama inacheza boring , boring games?
Sisi wingine ni wapenzi wa kabumbu bana sio wapenzi wa Timu.

Baba yupi huyo unaemzungumzia hapo?

Unataka anaefanya kosa afutiwe adhabu/ kosa kwa sababu tu amekata rufaa?

Ni ushauri tu kwa kuwa Chelsea wanacheza boring game basi usiwe unatazama game zao, zile zinazocheza kandanda la kuvutia km barca, aids, ndo uwe unapost kwenye thread zao humu hapakufai, unajina la MTU aliyekuwa anajua mpira ila wewe unamiaibisha hujui kitu
 
mour kaongea kitu kimoja cha msingi sana kwamba hata wanamhujumu he will be champion
 
Matic ni human being after all, ile haikua ordinary tackle, ilikua ni violent conduct inayoweza kumstaafisha mtu soka kabla ya muda wake.

Understandably yes, lakini kwa reaction yake tuu ile the rules says is a red card regardless ya kwa nini ali-react vile.

His reaction from the foul could not have stopped being red carded. Matic siyo mchezaji wa kwanza ku-face a leg-breaker foul. Tumeshawaona wengi tuu, but most of them didn't react in the same way as Matic did (possibly labda walifunjwa kweli na kushindwa kureact?).

Matic's red card was not the most shocking decision. Shocking decision ilikuwa Barnes kutopewa red card. Both should have have been sent off.

But what is the way forward now? What would be a fair, just and reasonable decision after all this? Barnes kuwa banned for three games au red card ya Matic kuwa rescinded?

Kama unakumbuka New Year's Day, Wayne Routledge wa Swansea alipewa red card after receiving a horror leg breaking tackle from QPR's Karl Kenry and reacting like Matic.

Referee Anthony Taylor didn't punish Karl Henry for that horror challenge. But Routledge's red card was later rescinded baada ya kukata rufaa: Swansea City's Wayne Routledge has red card lifted after appeal - Football Rules & Governance | The FA.

Some hope that the same will happen to Matic kwa sababu tayari kuna hii precedent. Kama FA wataamua kumpa ban Barnes ili ku-justify red card ya Matic labda watakuwa hawako consistence na maamuzi yao.

Lakini kama Matic akikata rufaa na red card yake kuwa rescinded bila Barnes kuwa banned watakuwa consistence na maamuzi waliyofanya kwa rufaa ya Wayne Routledge.

Kwa hiyo, the ball is back to Matic na Chelsea kutaka rufaa ili waiweke FA kwenye kona na kuja na maamuzi ambayo ni fair, just and reasonable for all those involved, though Totenham wangependa hali ibakie hivi hivi
 
Ndani ya siku tatu tu FA walishakaa na kuamua kumfungia Costa mechi tatu baada ya ile incident kwenye mechi ya Liverpool , tusubiri kuona this time itawachukua siku ngapi kufanya hayo maamuzi au ndio "The Campaign " inaendelea kama kawa ,
 
Hakuna uamuzi wowote kutoka kwa FA uamuzi wa refa juu ya red card ni finito ..... .... ndio mwisho nyinyi watoto mlioanza kuangalia mpira JF hamkui tu khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kama report ya refa itasema aliiona ile foul hakana cha maloloso yoyote hapo.
 
Ni ushauri tu kwa kuwa Chelsea wanacheza boring game basi usiwe unatazama game zao, zile zinazocheza kandanda la kuvutia km barca, aids, ndo uwe unapost kwenye thread zao humu hapakufai, unajina la MTU aliyekuwa anajua mpira ila wewe unamiaibisha hujui kitu

Kama unaweza kutumia muda wako kuangalia mechi ya Chelsea kila inapocheza basi wewe ni mshabiki mzr sana wa chelsea na unaipenda sana pengine labda hujui tu wapi jezi za chelsea zinapatikana na ungekuwa unajui zilipo pia ungekuwa unavaa jezi kila unapoitazama mechi dhidi ya chelsea..hongera kwa kuifuatilia chelsea kwa ukalib zaidi hii inatoa ishara kiwa unaipenda sana chelsea..siolazime usema bali matendo yako ya kuifuatilia kwa ukarb ni majib tosha
 
A few highlights from Chelsea manager Jose Mourinho's extended interview this morning:
"I am not attacking the honesty, the dignity of anyone. I am not trying to - and in this country you love this sentence - 'bring the game into disrepute.' I am trying to be honest.
"If we are in a normal situation when decision sometimes go for us, sometimes go against us, we could be five points clear, we could be 12. It could be 12 points.
"If the referee cannot see a penalty three metres in front of him, some official in front of a screen cannot miss it.
"It could be the end of Nemanja Matic's career. A criminal tackle. Matic is a very lucky guy.
"Another club would have the power to appeal Matic's red card."
 
Samahani kwa wale watakaokwazika na hizo conversations hapo juu,
Na wale wanaofikiri Wacha 1 Hana uanamichezo wa kuheshimiwa mnaweza kubonya like tu,maisha yaendelee ,

KTBFFH
 
Jose is totally right on this. He can be dramatic but he is on point. I wouldn’t even call it bad luck anymore. There is way too much lopsided decisions being made on Chelse. Matic has every right to stomp that idiot for trying to break his leg. That red card should be reversed because what Matic did is not worthy to have him miss three games let alone one.

Post I saw on the Guardian: Liverpool get a penalty every 6.5 games in the BPL and every 6 games in the CL this season. Arsenal get a penalty every 3.7 games in the BPL and every 6 games in the CL this season. Manchester City get a penalty every 3.7 games in the BPL and every 3 games in the CL this season. Chelsea get a penalty every 13 games in the BPL and every 1.5 games in the CL. Chelsea have the best attack in the league according to goals. That’s right, the best attacking team in the league earns penalties in the CL at a rate doubled of that of their competition. Yet those same teams are getting penalties almost 4 times faster than Chelsea in the BPL. Odd, considering that aside from Chelsea, the penalties earned rate is very similar between the CL and BPL. Less than a goal for MCFC/LFC, less than three for AFC yet an alarming 11.5 difference for Chelsea. Why has this not been up for discussion?

Jose Mourinho eviscerates referees and media on morning TV appearance | ProSoccerTalk
 
Meanwhile yesterday-22/02/2015-was Ivanovic's birthday!!!
 
Attachments

  • 1424709512781.jpg
    1424709512781.jpg
    34.6 KB · Views: 97
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom