Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Half time bandugu tuko hapa leo kumaliza msiba.
 
Matokeo Chelsick 2 - 2 Aponel khe khe haya msiba utaisha kweli? Wenzenu Manure Owen kaona mwezi khe khe khe khe
 
Matokeo Chelsick 2 - 2 Aponel khe khe haya msiba utaisha kweli? Wenzenu Manure Owen kaona mwezi khe khe khe khe

our only concern should be Essien's injury, hope it's not serious one.
 
Kabla Chelsick hawajakaa vizuri walibandikwa goli la haraka haraka.

_46882582_apoel_pa766.jpg
 
Wacha naona umewakamia sana Chelsea walikufanya nini?
 
Wacha naona umewakamia sana Chelsea walikufanya nini?

Khe khe khe unajua tena mambo ya michezo ni ushindani, sasa si unaona maneno yangu yanagonga hadi darajani na yana wa-affect wachezaji wao ndio sababu wako goi goi. Tutabanana nao hapa hapa, mie nilijua kwamba leo matanga yanaisha lakini naona wameahirisha kwa hiyo tusubiri Everton Jumamosi tena hapo hapo Darajani.

Shida yao kubwa walitaka wakabidhiwe kikombe mwezi November Teh teh teh walifikiri chandimu.

Sasa nifanyaje kama John Obi Mikel's
anagawa mpira kama sadaka?
 
our only concern should be Essien's injury, hope it's not serious one.

Usiwe na wasi wasi ataruka kwenda Serbia kumwona daktari wa farasi ataweka horse placenta na mambo yatakuwa mswano kama alivyofanya Lamps. Lakini kama kawa safari hii fweza lazima mtoe tena donge nono tu (i.e. umafia) bila hivyo Jumamosi Everton watawaweka magoli maana nyie bila kubebwa bebwa hakuna mpira.

Huu ndio ukweli wa mambo pengine wengine hawaelewi lakini angalieni kwa umakini mtaona, si umeona leo timu ya mkiani imewatoa kamasi.
 
Haya matokeo bado ni mazuri kwetu tumemaliza tukiwa tumeongoza kundi letu labda kibaya ni kuumia kwa Essien.Ni matokeo mazuri kwa game kama hizi ukizingatia tulishafuzu na tulishakuwa na uhakika wa kuongoza kundi letu.
 
chelsea-splash_944873a.jpg

Baada ya kukung'utwa na Blackburn haikuwa hoja, kichapo cha Man City hakikutosha. Jana karibu na dakika za majeruhi timu inayoshikilia mkia hawakukubali kwenda na goli la vikongwe, ati ndio hii timu walisema watashinda kila mechi. Mifuko ya Abramovich kwishnei - imeshatoboka nini? Recession hiyo hadi darajani.

Week moja imeisha tunaenda nyingine, tunahitaji kumaliza matanga.
 
Tuwekee basi na picha za Olympiakos 1-0 Arse, pia za Loserfools 1-2 Fiorentina.
 
Tuwekee basi na picha za Olympiakos 1-0 Arse, pia za Loserfools 1-2 Fiorentina.

halafu wewe peasant una bahati tu sikujui, ningekutwanga stuli ya kichwa, yaani timu yangu ndio loserful😕??? sie leo tulikuwa tunapiga jaramba la jumapili, bahati mbaya arses wametugundua na wao wakafanya hivyo... ujue kwamba liver na arses wako wodi ya wagonjwa chronic kwamuda sasa... ila naona na scums mnajongea maana siku saba sasa mnatumia dawa za kuharisha... kazi kwenu!!!
 
Ila Liverfool ni vibonde sana in the last 14 game all competitions wameshinda mechi 3 duuu nadhani hata Jumapili watapigwa na timu ya watoto Arse
 
Ila Liverfool ni vibonde sana in the last 14 game all competitions wameshinda mechi 3 duuu nadhani hata Jumapili watapigwa na timu ya watoto Arse
Liverpool utawaona watakavyojitutumua wakicheza na Arsenal
 
essien_280x390_945566a.jpg

Hata kabla matanga hayajaisha Chelsick wamejikuta katika hali ya hatari zaidi wakati kiungo wao muhimu na mfungaji magoli Michael Essien kuambiwa kwamba atakaa kwenye meza ya madaktari kwa muda wa wiki nne. lakini wachunguzi kutoka JF wamehakikishiwa kwamba atakaa mezani wiki sita na wiki mbili zaidi kuchukua speed hivyo yeye ni kachero tu kwa miezi miwili mfuto. Hata mechi za African Cup zitampita tu kama mvua lakini hiyo itakuwa faraja kwa wana darajani.

Kulikuwa na mategemeo kupata msaada kutoka kwa Horse placenta dokta kutoka Serbia lakini uchunguzi wa JF umebaini kwamba daktari mwanamama wa kisebia amebwaga manyanga na kutoweka baada ya askari kanzu wa kitengo cha kodi kutaka walipwe kodi kutokana na mama huyo kulipwa pesa lukuki kutoka kwa mamillionare wa Premier League.

Daktari huyo bingwa hadi tunapokwenda mitamboni alikuwa hajulikani aliko, pengine itabidi juhudi zifanywe na Interpol ili apatikane au Russian mafia wamtafute kwa udi na Uvumba kwani Abramovich hawezi kukubali kukosa taji msimu huu. Je, wataweza kweli kutoa fweza muafaka watakapokwaana na Everton ili matanga yaishe? Hilo ndio swali kubwa weekend hii.

Tunasikitika na kwa majonzi makubwa tunatoa pole kwa peasant kigogo ambao wamekuwa Invisible, lakini inshallah Masamilo tunaye. Vile vile kwa AB usiwe na shaka huwa hatuwasahau wafiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom