Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tuwekee basi na picha za Olympiakos 1-0 Arse, pia za Loserfools 1-2 Fiorentina.

Nenda kwenye thread ya Arsenal au Liverpool zipo tele kama pishi la udaga

BTW sikujua kama upo hapa ati nilikuona katika anga za juu.
 
essien_280x390_945566a.jpg

Hata kabla matanga hayajaisha Chelsick wamejikuta katika hali ya hatari zaidi wakati kiungo wao muhimu na mfungaji magoli Michael Essien kuambiwa kwamba atakaa kwenye meza ya madaktari kwa muda wa wiki nne. lakini wachunguzi kutoka JF wamehakikishiwa kwamba atakaa mezani wiki sita na wiki mbili zaidi kuchukua speed hivyo yeye ni kachero tu kwa miezi miwili mfuto. Hata mechi za African Cup zitampita tu kama mvua lakini hiyo itakuwa faraja kwa wana darajani.

Kulikuwa na mategemeo kupata msaada kutoka kwa Horse placenta dokta kutoka Serbia lakini uchunguzi wa JF umebaini kwamba daktari mwanamama wa kisebia amebwaga manyanga na kutoweka baada ya askari kanzu wa kitengo cha kodi kutaka walipwe kodi kutokana na mama huyo kulipwa pesa lukuki kutoka kwa mamillionare wa Premier League.

Daktari huyo bingwa hadi tunapokwenda mitamboni alikuwa hajulikani aliko, pengine itabidi juhudi zifanywe na Interpol ili apatikane au Russian mafia wamtafute kwa udi na Uvumba kwani Abramovich hawezi kukubali kukosa taji msimu huu. Je, wataweza kweli kutoa fweza muafaka watakapokwaana na Everton ili matanga yaishe? Hilo ndio swali kubwa weekend hii.

Tunasikitika na kwa majonzi makubwa tunatoa pole kwa peasant kigogo ambao wamekuwa Invisible, lakini inshallah Masamilo tunaye. Vile vile kwa AB usiwe na shaka huwa hatuwasahau wafiwa.
Ahsante, lakini wewe unashabikia timu gani? Maana naona kila kukicha Chelsea hivi Chelsea vile! Kunani Chelsea na wewe?!
 
halafu wewe peasant una bahati tu sikujui, ningekutwanga stuli ya kichwa, yaani timu yangu ndio loserful😕??? sie leo tulikuwa tunapiga jaramba la jumapili, bahati mbaya arses wametugundua na wao wakafanya hivyo... ujue kwamba liver na arses wako wodi ya wagonjwa chronic kwamuda sasa... ila naona na scums mnajongea maana siku saba sasa mnatumia dawa za kuharisha... kazi kwenu!!!
Kwi kwi kwi, utanijua siku moja! Anyway, I wish you the best of luck this weekend.
 
Ahsante, lakini wewe unashabikia timu gani? Maana naona kila kukicha Chelsea hivi Chelsea vile! Kunani Chelsea na wewe?!

khe khe khe khe khe khe
Hadithi hapa kama inavyosema hapo juu bi Chelsick na wala sio Wacha, upo hapo?

Kama unataka kumchambua Wacha anzisha thread yake unakaribishwa. Au? Wacha-na naye kabisa weye kula vidonge tu hadi mwisho wa musimu.

BTW muulize Sanda Matuta aliyeanzisha hii thread.
 
essien_280x390_945566a.jpg

Hata kabla matanga hayajaisha Chelsick wamejikuta katika hali ya hatari zaidi wakati kiungo wao muhimu na mfungaji magoli Michael Essien kuambiwa kwamba atakaa kwenye meza ya madaktari kwa muda wa wiki nne. lakini wachunguzi kutoka JF wamehakikishiwa kwamba atakaa mezani wiki sita na wiki mbili zaidi kuchukua speed hivyo yeye ni kachero tu kwa miezi miwili mfuto. Hata mechi za African Cup zitampita tu kama mvua lakini hiyo itakuwa faraja kwa wana darajani.

Kulikuwa na mategemeo kupata msaada kutoka kwa Horse placenta dokta kutoka Serbia lakini uchunguzi wa JF umebaini kwamba daktari mwanamama wa kisebia amebwaga manyanga na kutoweka baada ya askari kanzu wa kitengo cha kodi kutaka walipwe kodi kutokana na mama huyo kulipwa pesa lukuki kutoka kwa mamillionare wa Premier League.

Daktari huyo bingwa hadi tunapokwenda mitamboni alikuwa hajulikani aliko, pengine itabidi juhudi zifanywe na Interpol ili apatikane au Russian mafia wamtafute kwa udi na Uvumba kwani Abramovich hawezi kukubali kukosa taji msimu huu. Je, wataweza kweli kutoa fweza muafaka watakapokwaana na Everton ili matanga yaishe? Hilo ndio swali kubwa weekend hii.

Tunasikitika na kwa majonzi makubwa tunatoa pole kwa peasant kigogo ambao wamekuwa Invisible, lakini inshallah Masamilo tunaye. Vile vile kwa AB usiwe na shaka huwa hatuwasahau wafiwa.

Wewe mtu unakwikwi kweli kweli....lakini tuko pamoja mpaka kieleweke tu.

Ze Bluuz for life.
 
Wewe mtu unakwikwi kweli....lakini tuko pamoja mpaka kieleweke tu.

Ze Bluuz for life.

Siku zake zinahesabika atakimbia tu mwenyewe ataona hapakaliki maana tutakuwa tunamsikitisha kila game!
 
Mvina uko wapi chelsick tayari kachapwa kamoja ka haraka haraka. Tuletee updates basi maana mimi nikisema unatia nongwa.

Chelsick 1 - 1 Everton
 
Chelsick 2 - 1 Everton

Khe khe khe tutamaliza matanga leo inshallah!
 
Very discouraging...

Chelsea 2 - Everton 2

_46907032_saha_getty766.jpg

Half time

Saha anafurahia baada ya kuwakwangua Chelsick

Naombea matanga yaishe tu hiki kilio kinatu-cost gharama kubwa.
Khe khe khe afadhali umekuja ku-update naona AB na pesant kigogo wameadimika.
 
Drog the bar anasawazisha

Chelsick 3 - 3 Everton

Matanga jamani yanatuumiza mfuko siyo wa abramovich tu teh teh teh
 
Its allover

Dakika za majeruhi msiba bado unaendelea Chelsick kwishnei.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom