Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,266
Tunakuja tunaomba mtupishe kwenye nafasi yetu
eeeeiii!!!...acha uzalendo Mkuu Belo.
Tunakuja tunaomba mtupishe kwenye nafasi yetu
safi sana rev huo ndio ushabiki sio unakuja kunishambulia kwenye jukwaa langu nikifungwa alafu wewe unajificha ha ha ha.waambie invisible na masanilo nao watoke walipojificha.Yes, we lost the game, fairly and square. We have mourned, clean the sores and we are ready for next challenge!
masanilo kahamia kwenye jukwaa la kombe la chalenji anaishangilia zanzibar anasema anakaa mbali na timu ya presha ya chelsea kwa sasa mpaka waanze kushinda ndio atarudi ha ha ha.
Naona kaamua kutokomea kabisa..Kaamua kulitekeleza Jukwaa lake aisee.Unacheza na kichapo nini
leo anaweza kurudi kwenye champions league na mkuu invisible.
Naona unaamua kumshawishi Masanilo arudi kwenye jukwaa...hahaaaaa,safi sana.Atarudi tu na tunamsubiri kwa hamu sana
Masanilo kasafili, yupo na Taifa Stars....natumaini atakuwa ameambiwa matokeo kuwa
Man City 1 -- Chelsea 2.....anavyofahamu masanilo ni kuwa chelsea ni mshindi.....tehetehe
Masanilo
Man City 1 Chelsea 2
atarudi saa ngapi? au Chelsea FC 20:45 APOEL FC
Naona unaamua kumshawishi Masanilo arudi kwenye jukwaa...hahaaaaa,safi sana.Atarudi tu na tunamsubiri kwa hamu sana
ha ha ha mkuu huwe unakuja kujitetea si unaona sie huwa tupo tukifungwa au tukishinda.safi sana umerudi tatizo sio jezi nyeusi tatizo vijana waliwazidi kiufundi na nguvu pia.mmekuta na ugali pale wa de jong naona mkapotea kabisa.Mkuu nilikuwa nashangilia Zanzibar Kumfunga Zambia!
Tulifungwa sababu ya jezi nyeusi lOL