Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

AB jitokeze tu na mwambie peasant kigogo nao wajitokeza bila hivyo mifuko itaendelea kutoboka.
 
AB jitokeze tu na mwambie peasant kigogo nao wajitokeza bila hivyo mifuko itaendelea kutoboka.
Mimi nipo sijakwenda popote. Droo sio mbaya, japo tumefungwa magoli ya kizembe sana! Subiri zamu yako, bahati mbaya wewe ni coward hauna guts za kusema unashabikia timu gani!
 
Siku zake zinahesabika atakimbia tu mwenyewe ataona hapakaliki maana tutakuwa tunamsikitisha kila game!

Nani anasikitika? Hukuwepo hapa wakati wa mpira umeenda kijificha maana huna uhakika na vikongwe wako. Drog the bar leo kafanya kazi kubwa.
 
masanilooooooooooooooo ngapi ngapi humu?

Masanilo atakuwa anafahamu matokeo.....in case hafahamu ni kuwa leo tarehe 12 ya mwezi wa 12 mwaka 2009 timu ya Masanilo imetoka sale ya magoli (3-3) na timu ya Everton. Shukrani zimuendee Saha kwa goli la kusawazisha. Ikiwezekana Man U watoke draw ama wafungwe...well kesho Arsenal tutashinda na kuweza kupunguza gap la point....if yes then timu ya Masanilo itakuwa na points 37 na timu yenye kucheza mpira safi tutakuwa na points 31....note that tuna mechi moja, thus >>>>31 or 32 or 34...Hodi hodi twaingia, uwanjani twatokea....
 
Mimi nipo sijakwenda popote. Droo sio mbaya, japo tumefungwa magoli ya kizembe sana! Subiri zamu yako, bahati mbaya wewe ni coward hauna guts za kusema unashabikia timu gani!

Khe khe khe, wewe si ulitaka kikombe November? Mara tena sio mbaya! Kwani ni lazima uwe na timu? Mlisema nitakimbia kabla ya huu mpira wa leo na mimi ndio nilikuwa na-update magoli hapa na kujaa kama pishi la udaga hadi Invisible alipokuja kuendeleza libeneke Usikonde ila ni lazima mchezo ujao mtoe kitu kidogo maana dalili ya mvua ni mawingu.

Eastlabds mlisema dreva alipotea na burungutu sasa Darajani sijui mtasema nini? khe khe khe
 
Chelsea bila drogba inawezekana?

We ain't a one man band, we have a lot of quality to cover for him....I think is much harder to cover for Essien than Drogba. Anelka is more than capable of stepping into Drogba's shoes once asked, he did it last season.
 
Leo sikuona kasi ya mpira kwa upande wa Chelsea, hata mashabiki wao wa nyumbani hawakuwa wamechangamka sana kama siku zote. Sijui ni kiwewe cha wachezaji na mashabiki nao hawajiamini tena ama ni kitu gani?

Anyway, mpira haukuwa unavutia sana kwa pande zote mbili na pia magoli sikuona kama yalikuwa ya ufundi sana, na mengine nimeona ni ya kubabatiza kiaina.

Kuna haja ya kukataza foward wasiwe wanarudi nyuma kwa ajili ya kulinda goli. Last week, Adebayor alisaidia kuifunga timu yake, leo kosa kama hilo limejirudia kwa Drogba japo hakujifunga lakini alimsaidia Saha kufunga goli.

Cheko ni kwa SAF na vijana wake kwa kuwa gap linazidi kupungua na hasa iwapo watatumia vema nafasi hiyo kwa kushinda mechi ya leo.

I guess Kocha anatakiwa kufanya mabadiliko ya hapa na pale, hii siyo ile Chelsea tishio ambayo mwanzoni mwa ligi watu tuliamini kwamba isingefungwa na timu yoyote.

Safari ni ndefu, maana hata nusu ya safari bado hawajafika. Ngoja tuendelee kuangalia kipute kinavyokwenda.
 
We ain't a one man band, we have a lot of quality to cover for him....I think is much harder to cover for Essien than Drogba. Anelka is more than capable of stepping into Drogba's shoes once asked, he did it last season.
tatizo la anelka hajui kulazimisha magoli kama drogba.
 
Khe khe khe, wewe si ulitaka kikombe November? Mara tena sio mbaya! Kwani ni lazima uwe na timu? Mlisema nitakimbia kabla ya huu mpira wa leo na mimi ndio nilikuwa na-update magoli hapa na kujaa kama pishi la udaga hadi Invisible alipokuja kuendeleza libeneke Usikonde ila ni lazima mchezo ujao mtoe kitu kidogo maana dalili ya mvua ni mawingu.

Eastlabds mlisema dreva alipotea na burungutu sasa Darajani sijui mtasema nini? khe khe khe
Ok, tutakuonga wewe maana unaonekana ndio zako, bila rushwa kwako maisha hayaeindi ndio maana kila ukipanua mdomo ni rushwa tu unaongea. Unfortunately, only a fool can think that way!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom