RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,880
- 129,907
![]()
usitake kuniambia hata hivi vi2 hukuviona ........
Grand PA
nilichoona mechi hii ni goli la d costa tu....mengine sijaona zaidi ya kujua SCORE 5-3
![]()
usitake kuniambia hata hivi vi2 hukuviona ........
Grand PA
![]()
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie small
![]()
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Napenda uwepo wako ktk Uzi wetu huu na vihoja vyako vyepesi!
Mpk January 4 hakuna point yoyote ile tutapoteza! Kaa na ndoto zako!
usipaniki wewe....kufungwa kawaida na lazima tu tuwakebehi ndio mpira.....furaha yangu ni wewe kufungwa TANO....mbona liko wazi!!!!
Lecter ndiyo timu gani wewe? Hata kukopi na kupesti huwezi ama ndiyo kuchanganyikiwa na goli 5??
Timu yangu ni New Castle na Tottenham.Weka timu yako hapa tupige hesabu za GAP..
Unless otherwise "mind the gap"
hata cjapaniki mkuu!' sioni hata sabab y kupaniki wakat bado tupo on the top!' ........... nyie ndio sioni jipya la kufurahia ni lipi? kwani chelsea ndio mara y kwanza kufungwa tano?!
Grand PA
hata cjapaniki mkuu!' sioni hata sabab y kupaniki wakat bado tupo on the top!' ........... nyie ndio sioni jipya la kufurahia ni lipi? kwani chelsea ndio mara y kwanza kufungwa tano?!
Grand PA
haya mkuu....uwe na siku njema.
Tatizo huelewi nimetaja kwa lugha ambayo huifaham umekariri lugha moja au mbili
Chifu kukiri kosa ni namna ya kujifunza...usione aibu.
Au ulimaanisha Hannibal Lecter?!?
Maana hata nickname ya Leicester siyo Lecter ni Foxes ama Fosse...sasa Leicester City kuwa lecter ni katika lugha ipi mkuu?
Labda mimi sifahamu, naomba unifundishe.
mkuu naona unataka kunilazimisha kinyume na nilivyokusudia,ndo maana nikasema hapo awali kwa lugha iliyozoeleka na kwa maandishi yake kutokana na lugha hiyo ni lecter,basi umeshinda maana huelewi nachosema
Sikulazimishi chifu..ndiyo maana nimeomba unifundishe hiyo lugha iliyozoeleka..kwani mbona ni ombi linaloeleweka chifu..
Nifahamishe chifu..
thanks mkuu lugha yenyewe
[TABLE="class: soccer"]
[TR="class: stage-finished"]
[TD="class: cell_ab team-home"]Ливерпуль[/TD]
[TD="class: cell_sa score bold"]2 - 2
[/TD]
[TD="class: cell_ac team-away"]Лестер
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
hapo ndo nilikuwa namaanisha so i think kosa langu nikujibu kwa mazingira ya ambayo lazima yakufanye uulize