Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,341
mkuu nye fanyeni sherehe ligi bado inaendelea,sasa kama chelsea kufungwa mechi ya pili tangu ligi ianze mnafanya sherehe siku inachukua ubingwa si mtakufa presha
Hivi matokeo yakoje jamanii
Napenda uwepo wako ktk Uzi wetu huu na vihoja vyako vyepesi!
Mpk January 4 hakuna point yoyote ile tutapoteza! Kaa na ndoto zako!
mkuu nye fanyeni sherehe ligi bado inaendelea,sasa kama chelsea kufungwa mechi ya pili tangu ligi ianze mnafanya sherehe siku inachukua ubingwa si mtakufa presha
mkuu nye fanyeni sherehe ligi bado inaendelea,sasa kama chelsea kufungwa mechi ya pili tangu ligi ianze mnafanya sherehe siku inachukua ubingwa si mtakufa presha
hatuwezi kufa tushazoea,nyie sio wa kwanza kuchukua ubingwa!
Ubingwa mlishachukua kabla ligi haijaanza
mkuu nye fanyeni sherehe ligi bado inaendelea,sasa kama chelsea kufungwa mechi ya pili tangu ligi ianze mnafanya sherehe siku inachukua ubingwa si mtakufa presha
tumepoteza mechi mbili tangu ligi ianze msimu huu,hebu usipuuze nijibu nye mmepoteza ngapi?Ubingwa ndiyo umeota mbawa kaka,May 15 mnapata Manager mpya ehehehehe
From 9 points up to goal differences just within a week!Ukichora graph hapo utaona anguko la kutisha ehehehe
Morinyo alichemsha kumuacha Lampard,huenda Lampard akawasaidia Man City kutetea ubingwa wao
January 10 na Newcastle ehehehehe!Nanusa anguko lingine hapa maana wachezaji wa Chelsea wamechoka sana!Terry kachoka mno ana miaka 34 anacheza kila game hata za Capital One
Goli la 5 CHADLI kamchukua ajuza Terry toka katikati hadi kwenye 18 bila bugudha yyt ile ehehehehe
Kivipi? Kwamba Lampard angezuia magoli ya jana? Ilikuwa one of those days, bhaaas, anguko kama hilo hutokea mara moja ktk kipindi cha labda a decade. Unless wewe ni Mancity fan, vinginevyo ungetuliza mpira na kuiangalia table ikoje.
January 10 na Newcastle ehehehehe!Nanusa anguko lingine hapa maana wachezaji wa Chelsea wamechoka sana!Terry kachoka mno ana miaka 34 anacheza kila game hata za Capital One
Goli la 5 CHADLI kamchukua ajuza Terry toka katikati hadi kwenye 18 bila bugudha yyt ile ehehehehe
kama lecter mlidraw nyumbani mje kumfunga aston villa?