Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

clean sheet kwa Cech na Goli kwa Remy vitawasaidia sana kujenga kujiamini zaidi..

Mind the Gap.
 
IQ ya huyu jamaa #WAcha1 na mashaka nayo pengine hayuko sawa.

Nimekuwa nikifuatilia post zake zote na nimegundua kuwa IQ yake haiko sawa

Cc Wacha1
 
IQ ya huyu jamaa #WAcha1 na mashaka nayo pengine hayuko sawa.

Nimekuwa nikifuatilia post zake zote na nimegundua kuwa IQ yake haiko sawa

Cc Wacha1

mwanaume kujichekelesha chekelesha kw wanaume wenzio!' unafikiri ni dalili za nn!! ...........

Grand PA
 
IQ ya huyu jamaa #WAcha1 na mashaka nayo pengine hayuko sawa.

Nimekuwa nikifuatilia post zake zote na nimegundua kuwa IQ yake haiko sawa

Cc Wacha1

kuna watu mnachukulia mambo ya mpira soooo serious!! hivi mnalipwa kushabikia hizo timu?? hapa watu wanatoa stress tu ndugu yangu.......
 
Maisha baada ya Kibongo cha 5-3:

Hakuna mwana chelsea yoyote ambaye alitegemea kibondo kikubwa namna ile, binafsi nilishuhudia dakika zote 90, baada ya jamaa kupata bao la tatu, nikamwambia jirani yangu kwamba kocha lazima ataanza game ya kushambulia zaidi - utaona Full backs zote zinapanda mbele na kuacha nyuma uwazi. Athari yake ni kwamba kama tukipoteza mipira mingi kwenye midfield basi tunaweza kufungwa hata bao 6 kwa counter attack, unless tufunge haraka mabao mawili iwe 4-3 ili kocha abadilishe mfumo tena.

Jamaa akaniambia, mzee mzima huko umefika mbali bao sita zitoke wapi, hawa mbona wa kwetu leo.

Oooh mara bao la 4, nikamwambia unaona?, lakini mimi nikabaki na kauli yangu ile ile - hatimaye yakaingia mengine 2 na tukawa tumelala 5-2, kipigo cha mtoto mtukutu tukawa tumekipata.

Way Foward

Mimi namshauri kocha machachari kuangalia uwezekano wa kumpumzisha JT, Metic na Fabregas hii ni kutokana na wao kucheza mechi nyingi bila mapumziko. Kuna mmakonde nafikiri kwa sasa yupo fit basi apewe nafasi ya ku-hold. Hasa ukizingatia umri wa kepteni wetu kweli umesonga kwa sasa.

Wote mmeona game ya juzi na Watford, alipumzisha akina JT, Ivanovic, Fabregas, Metic, Hazard na Kipa wetu Thibaut. Jumla ya wachezaje Key 6 kwenye line yetu ya kwanza ya primership ya vijana wale wakali tukawashindiliamo bao 3 bila majibu.

Hii ni way forward, naungana na Metic kwamba makombe 4 yanawezekana, WHY NOT??
 
Kalou hata mimi nilisham dis huyu jamaa. Mwanaume huwezi kucheka cheka like that. Kuna walakini mkubwa
 
Barcelona star Lionel Messi just followed Chelsea FC on Instagram amidst rumours [Pictures]
http://www.101greatgoals.com/blog/barcelona-star-lionel-messi-just-followed-chelsea-fc-on-instagram-amidst-rumours-picture/ …
7:25 PM - 5 Jan 2015

B6mywvzCAAE-vak.jpg
 
Bosi wenu anamtaka lakini Mourinho anasema hawana pesa ya kumnunua wala ya kumlipa...PSG on da way kumpandia dau
 
Hahahaha opponent wetu wanaumia sana wanapopata habar kama hiz kwa chama letu

Mbona mambo ya kawaida tu hayo ndugu...

Barcelona superstar Lionel Messi has dropped a fresh Chelsea hint. The Mirror says Messi is now following the club's official Instagram account.

The four-time World Player of the Year also followed ex-Barcelona teammate Cesc Fabregas and Filipe Luis, while his girlfriend followed the Blues on Twitter.

Chelsea owner Roman Abramovich reportedly reckons he could prise him away from Barcelona with some suggesting it could take as much as £200m.
 
huku kujichekesha chekesha ndo wasiwasi wangu,,

Kalou ndugu yangu kwema hapa?Naona kijiwe kimepoa sana!Chukulieni 5-3 ya Tots kama changamoto tu na si zaidi ya hapo!
Ntuzu haina haja ya kusononeka hadi leo kwa kipigo kile,ndiyo soka kaka

Heri ya mwaka mpya wana Darajani wote
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom