barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,804
LEGEND![]()
Huu utani sasa unavuka mipaka yake.
LEGEND![]()
Watu wanayafurahia matokeo yetu kuliko matokeo ya timu zao.
Na hilo ndilo tatizo la backline ya rentboys, haina speed. Angalia hata Mane wa Soton alivyofunga siku ile...
Natamani Man United ikutane na rentboys ikiwa na Di Maria, dogo Wilson na dogo Januzaj akiwa fit...watakikimbizwa hao vikongwe...
unafanya sherehe kw chelsea kufungwa gemu mbili tu!' hahahaha ............. halafu timu yako yenyewe haijashinda!', si ukiazi huo!' kweli nimeamini the best team in the world imefungwa.
Grand PA
ila mechi ya leo ilikuwa ajabu sikutegemea tottenham walikuwa wapo fasta sana,pale kati walijapanga vilivyo,nadhani kuna timu zingine kucheza kwao ngumu kuwafunga wanakuwa majogoo kwao,nilifurahi sana yaliyokukuta leo vinginevyo humu ungekuwa unazingua,ila bado tupo pale juu challenges zenu hazina msingi,ni sawa na fisi kumfuata binadamu kwa nyuma akidhani mkono unadondoka
Huu utani sasa unavuka mipaka yake.
haters are laughing but we're still on top. The
problem is that we are so dominant that
whenever we slip up, everyone gets wild. They
think that the game is over but they don't know
that we're chelsea football club, a club with a
never say die attitude that will hopefully come
out on top at the end of the season. Win,
draw or loss, chelsea till we die!
yes. The best team in the world lost. Ndio maana everyone is jubilating. Soon wataanza kununa tena maana hatutofungwa tena. Sometimes kufungwa kunasaidia kuleta hasira na kwenda mbele zaidi. One step back n 3 steps forward. Natamani mechi ijayo tungecheza na man city ili tuzime kabisa kelele
kiazi wewe unaetaka tulie chelsea ikifungwa tena mmefungwa TANO....tutafanya sherehe kila mkifungwa tena mkifunwa TANO ndio sherehe inakuwa kubwa.....
next time tell ur fellow blues supporter not to dream......some of u said u will finish this season unbeaten!!!!some said u won the title already[november!!!!]..... Some of u[after get humbled by newcastle said they wont lose a point till jan 4,its jan 2 u have lost five points already!!!!
Yes. The best team in the world lost. Ndio maana everyone is jubilating. Soon wataanza kununa tena maana hatutofungwa tena. Sometimes kufungwa kunasaidia kuleta hasira na kwenda mbele zaidi. One step back n 3 steps forward. Natamani mechi ijayo tungecheza na Man City ili tuzime kabisa kelele
Mara nyingi ulikua unakuja na hoja zako kua timu zote zimeicha chelsea kukimbia na kombe peke yake na mimj nilikua nakuambia sio kweli. Leo umegeuka?
chelsea walipofunga goli moja tu nikaacha kuangalia nikajua yale yale ya "three point lane" kuja kucheki baadae kidogo nakuta ht 3-1 aisee nikajuta kuacha kuangalia!!!!
umeona ulivyokua kiazi!' sasa aliyekwambia ulie hapa ni nani?! mi mwenyew hata chelsea ufungwe 100 cwezi kulia!' .......... mi nachojiuliza ww furaha yako inatokana na nn?! wakat nimekupita mipoint kibaaaoo!! kwanza ujasiri wa kuingia hapa cjui unapata wapi?!' we utakua haupo sawa!
Grand PA