Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Leo hakuna cha Mentor ing ------ wala cha nini makosa ni ya Invisible ambaye machale yalimcheza na kufanya maintanance ya kuondoa adverts ambazo hazilipi chochote JF na kupooza ma-points ambayo Chelsick wamekuwa wakibamizwa kila week, kumbe ndo kitanzi chenyewe. Chezea EPL alifikiri bado yupo Portugal khe khe khe khe he khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, anzeni kumwandalia timu ya kwenda mwezi May, Four months from now the time is ticking ... ... ... .
 
BBho2uM.img

Chelsick walinyimwa penalty ambayo ilikuwa nje ya box
Refa kawabeba Totts, ni agenda ya magazeti na pundits,
Gunners manager
wanafanya campaign ili Mwezi May
Moureen afukuzwe
khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Southampton 2. Aids 0 kombe lenu la top four lina contester weng
 
Huyu mpiga domo Maureen ana maneno ya shombo sana..leo yamemrudi...View attachment 215030

Halafu anaanza kulialia eti kanyimwa penati....sijui rentboys wangekuwa 2-0, Spurs wasingeweza kupata points zozote..yaani mpiga domo kachanganyikiwa liveee...

attachment.php

Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie small team inategemea sugar daddy khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee akifa na timu inakufa. Hiki kidonge cha Nzi lazima wakinywe tu wapende wasipende.
 
1420135607192_lc_galleryImage_LONDON_ENGLAND_JANUARY_01.JPG

They just remember the name Harry Kane,
he Kaned them ... .... .. brilliant
Khe khe khe khe khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeee ngebe kwishnei!

Kama Chelsea tumefungwa hapo, nyie mtacjinjwa na pia kumbukeni ni watani zenu wa jadi hawa huwa wanawapania. Hukumu yenu nyingine haiko mbali. Unakumbuka 8-2, 6-0, 6-3, 5-0, 3-0 za Everton, 2-0 za The Saints, 3-2 za The Potters na list inaendelea??
 
_80004839_panic_button.jpg

Mkuu with all due respect New Castle waliwabamiza au umesahau uliza Gunners waliwafanya nini? Soka haliendi hivyo stay tuned khe khe khe khe khe khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeumeanza kulialia kama Moureen. Not long ago mlitaka kombe in November chacha ujanja wa Sungura huo. Umeanza kuangalia na kushabikia mpira lini au umekuja kwa jina jipya kama kawaida ya mashabiki koko wa Chelsick?

Wacha kuweweseka na timu yetu ya Gunners.
 
Najua tulifungwa na Newcastle na nyie mkawafunga, ila mbona inaonyesha kama unasahau Stoke waliwafanya nini na sisi tukawafanya nini Stoke. Kumbuka hao Newcastle sidhani kama mmecheza kwao.
 
Najua tulifungwa na Newcastle na nyie mkawafunga, ila mbona inaonyesha kama unasahau Stoke waliwafanya nini na sisi tukawafanya nini Stoke. Kumbuka hao Newcastle sidhani kama mmecheza kwao.

Mbona unajipinga menyewe chacha khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hodi hodi...
Mr. "Mind the gap" aka kalou anaishi mtaa huu?
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Arsenal na liverpool nye mnaongea nini,hamna hata aibu
 
Unless you are Man city supporter wengine ni "Mind the Gap " kama kawaida
Wewe kweli ni bonge la shabiki, hujaona basi la Maurinho limeanza kutoka matairi?

Safari ya ubingwa kwa msimu huu ndio inaingia mashakani. Vipuri vya basi vimeagizwa kutoka Russia na Russia imewekewa vikwazo. Itawapasa msubiri msimu ujao kuendelea na safari.

Maurinho alianza kuchanganyikiwa leo. Mchuano ukiwa haujesha alienda kuwabusu na kuwapongeza Tottenham.
 
Weka timu yako hapa tupige hesabu za GAP..
Unless otherwise "mind the gap"
 
kwa kweli magoli yote yamepita upande mmoja. Nahisi ule utakuwa uoande Ivanovic , na namba hiyo haina mbadala kwa chelsea tangu game iliyopita Ivanovic alipwaya mno, inabidi atafutwe mbadala wake sasa
 
mashabiki wengine viazi kweli!' sasa unafuraahiiii chelsea kufungwa!' unathubutu kuja kukejeli humu wakat timu zenu zimepitwa si chini ya point 9 .........

Grand PA

sasa ulitaka tulie chelsea kufungwa??? we ndio kiazi kweli...wenzio akina Ntuzu Viol Mentor wote huko walipo wanajua tunafanya sherehe hapa jukwaani kwao hawarudi leo!!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi

Similar Discussions

Back
Top Bottom