Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bado tunaongoza ligi kwa alphabet...still on top of it!! Na hiyo nayo pia ni rekod
 
Sio kwa alphabet. Ts because of the draw tuliyotoa na man city kwao. Kama ile game ingechezwa kwetu tukadraw..leo wao ndo wangekuwa on top!!!
 
Duh! Wewe jamaa ni mweupe sana...Rentboys a.k.a Chelshit wanaongoza ligi kwa alphabet, kama hufahamu jambo ni heri kuuliza kwanza..

Hivi unafahamu kama ndiyo ingekuwa mwisho wa ligi, ingebidi ipigwe game kwenye neutral ground kutafuta bingwa?! Bingwa asingepatikana eti kwa kuwa Chelshit alitoa droo Emptihad..
 
karibu jukwaani....your defense was breached FIVE TIMES.....!
 
Duh! Wewe jamaa ni mweupe sana...Rentboys a.k.a Chelshit wanaongoza ligi kwa alphabet, kama hufahamu jambo ni heri kuuliza kwanza..

Hivi unafahamu kama ndiyo ingekuwa mwisho wa ligi, ingebidi ipigwe game kwenye neutral ground kutafuta bingwa?! Bingwa asingepatikana eti kwa kuwa Chelshit alitoa droo Emptihad..

Kuna tofauti ya kuwa bingwa na kuwa on top of the league!
 
Nafikiri Mou ampeleke Salah kwa mkopo ili apate Play time ya kutosha..yule kijana ana potential
 
Kweli kalou. Juzi Maurinho alimwingiza Salah ili aendane na speed ya Tottenham but hakuwa fit. Alikosa goli la wazi baada ya Hazard kupangua mabeki na kumwachia afunge. It was terrible failure.
 
Last edited by a moderator:
Chelsea 2 -0
 
Attachments

  • 1420392926453.jpg
    1420392926453.jpg
    69 KB · Views: 136

Similar Discussions

Back
Top Bottom