Wameleta format ya zamani so tumepoteza tulio changia kwenye format mpya!
Man City anaongoza ligi ehehehehehehe
mashabiki wengine viazi kweli!' sasa unafuraahiiii chelsea kufungwa!' unathubutu kuja kukejeli humu wakat timu zenu zimepitwa si chini ya point 9 .........
Grand PA
kaka points 2 hizo za wapi?man city anaongoza ligi kuanzia leo